"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo anafanya mziki kazi.

Akaendelea kusema...for the time being akaunti yake ina "more than billion"

Hivi huyu jamaa anafaham billion moja ni million ngapi? au ni matambo tu! Hebu atokee mtu anishawishi manake nafsi yangu imekataa kbs kuamini...

Anacheza na bilioni 1! Subiri akija kufulia kama Mr Nice tutamuuliza ziko wapi?!
 
Baada ya miaka miwili au mitatu naye ataanza kuilaumu Clouds FM kwa kufilisika na hatimaye kubwia Azam sembe,saa hizi anazo ni rafiki na Clouds ngoja ziishe ndio utasikia ngonjera za kama wengine za kuilamu Clouds kwa kufilisika na kuanguka kimuziki.
 
Ila nimegundua kitu mkuu, huyu dogo matambo ni sehemu ya maisha yake, time will tell...wacha tuendelea kufuatilia maigizo yake
 
Vijana wakosa kazi wana chuki kali na vijana waliotoka kimaisha WHY??

Hakuna asiyatambua jitihada za Diamond kwenye muziki, tunampongeza sana...thumbs up!

Hakuna mwenye chuki naye mkuu, unless kama umeusoma uzi wangu kinyumenyume...
 
Azinyee wapi?yani more than a billion alafu anamjengea mamake nyumba ya mbavu za mbwa???????????
Mkuu anaweza kua nazo si unajua hawa vijana huwa hawaangalii mambo muhimu . Je unakumbuka Marehemu kanumba na wasanii wengine ilivyokua . Ukweli wanapata pesa nyingi wanamalizia kwenye starehe tu wengine hadi huruma ukifika kwa wazazi wao. Hebu angalia yule msanii aliyefariki kwa ajali ya gari mwaka jana hakuacha hata senti moja benki kwa maelezo ya mama yake kupitia kwenye baadhi ya magazeti. Kiukweli sanaa inalipa ikifuatiwa na ubunge
 
Issue sio kuwa one billion issue ni diamond kama diamond kumiliki kiasi hicho cha pesa at the age of 20th! Na amefanya kazi ya music kwa miaka 5 tu! Kupanda jukwaani..kukata nyonga bhaaas....Big up Dogo.:thumbup:
 
Amezitolea wapi, ina maana wakina Ruge na Clouds yao hawajmnyonya kama ilivyo kwa akina JD na Vinega?
 
Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo anafanya mziki kazi.

Akaendelea kusema...for the time being akaunti yake ina "more than billion"

Hivi huyu jamaa anafaham billion moja ni million ngapi? au ni matambo tu! Hebu atokee mtu anishawishi manake nafsi yangu imekataa kbs kuamini...

acha wivu mkuu!!!:A S 576:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom