Tatizo lenu mnapata habari kutoka kwenye magazeti ya udaku! Anayeongoza kwa kulipwa pesa nyingi kwenye ringtones ni ROSE MUHANDO, wa pili ndio Diamond.
Bilashaka ww ndio una-lack financial exposure mkuu, all in all...your opinion is not my reality. Kwa maisha ya kibongo hata Diamond angecheza uchi jukwaani, hawezi kuwa na more than a billion, hebu rejea uzi wangu, jamaa amekaririwa akisema ana "more than a billion", that means sio 1 billion net. Acheni kuja na analysis zenu uchwara kujaribu kutushawishi hapa...
"wimbo wa kesho uliingiza milioni mia ndani ya mwezi mmoja kupitia caller tunes"diamond alisema katika mahojiano aliyofanya uingereza
Nahisi we ndio hukusikia vizuri, katamka hivyo hivyo " more than a billion".
Hata mimi napata shaka kama Diamond ana hizo pesa, si angeanzisha hata kampuni!
Azinyee wapi?yani more than a billion alafu anamjengea mamake nyumba ya mbavu za mbwa???????????
ah... mi'hata akaunti sina...
Mpesa is more appropriate.
Hakuna benki ila mnara mkuuubwa wa TTCL.
kisarawe kuna NMB, tigo pesa, airtel mone na mpesa...Lakini kikowapi cha kuweka benki kazi yenyewe kukta mkaa...
mh!! Duh basi baada ya muda kidogo ataanza kukimbizana na kina Lily Wayne na Birdman kwa style hii..
hahaaa hata mbuyu ulianza kama mchicha...,
siku moja moja apply haka kamsemo
Kama account yake ina billion kama anavyodai,inamaana ni billionaire si ndio??,na mimi ninavyojua diamond kapanga sinza wanyama,sijawahi sikia billionaire anaishi nyumba ya kupanga