Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,934
- 27,007
Nilikuwa manager sehemu hata 1m sipati..Manager angalau,, nahisi anapesa ndefu...
Inategemea na kampuni na scale yao ya mshahara. Ukipata nzuri. Hata 4m unapata regardless una muda gani kazini cha msingi unaweza "peform"