AJIRA

AJIRA

Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?

Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
Kama mshahara wa 800,000 kwa mwezi unadai kwa mwaka mtu anakuwa na milioni 16 basi nikwambie hivi, ukiajiriwa hadi utavaa nguo zimetoboka makalioni.

Kwanza huo mshahara hujahesabu makato ya kodi, shirika la hifadhi ya jamii, bima, bodi ya mikopo kama alikopa, mchango wa uanachama chama cha wafanyakazi.

Bado hujatoa hela ya kula, nauli, pango la nyumba na matumizi mengine. Na kwa akili yako hii hata ukifanya biashara utakula mtaji. Maana ukiuza 200,000 kwa siku utakula yote kumbe wewe kwenye hayo mauzo faida yako ni 40,000 na bado kwenye hiyo faida ya 40k hujatoa expenses kama bills zote na kodi. Mwisho wa siku kwa mwezi unaweza kuta faida ghafi ni 800,000 ila wewe unatumbua zaidi ya 1,200,000 kwa mwezi. Mwaka unaisha duka lina mapengo.
 
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?

Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
Nyie ndio vipindi vya hesabu mlikua mnasugua mbegu za ubuyu alafu mnawaunguza wenzenu hahahha
 
Back
Top Bottom