ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,071
- 19,211
Ww mbona una akili za hovyo?Haya uaneni basi.
Kwaheri
Kwani hapo wameuawana au kajiuwa mwenyewe?
Ww mbona una akili za hovyo?Haya uaneni basi.
Kwaheri
Ameshindwa kuzuia mauaji yasiyokee wakati alikuwa na uwezo wa kuzuia!Kwa kosa lipi?
Umeona wapi akimpiga?Mpaka alifikia kujitoa uhai mbele ya mme wake basi inaonekana kabisa kulikuwa na mgogoro mkubwa wa mda mrefu kati yao
Hatuwezi kujua lakini inaonekana jamaa alikuwa bully sana na huenda ana kimada ambapo mke alikuwa hana nguvu kwa jamaa na inaonekana alikuwa anampiga sana
Acha tuwaze ya kwetu ila hapo inaonyesha kabisa mwanaume ndio alikuwa kichocheo cha mke wake kujiua na alijua anajiuwa na akarekodi kwa roho yake mbaya
Mfanyakazi wa ndani anajua maisha yao atatoa majibu pia watoto wanajua pia
Watoto ndio wa kuwahurumia zaidi kwani kuona mama anakufa huku baba akirekodi ni ngumu sana kwa maisha yao
Mimi binafsi sijaona kosa la jamaa sababu jamaa hajamgusa huyo mwanamke hata chembe na hatujui story ya nyuma kilichomtuma ajiue.Hao watu ilitakiwa wakae wayajenge.Ila huyo kakimbilia kujiuaUmeona wapi akimpiga?
Umeona wapi aki mbully?
Umeona wapi jamaa akionesha vimada?
Unaongea upuuzi na umbea. Mtu anasema anakunywa sumu. Unamkatazaje?
Kutengeneza kesi ya aina gani sasaUmejuaje je kama amemtishia kuwa akimzuia ataenda polisi amtengenezee kesi?
Atupwe mahabusu kwa kosa gani??Duh..
Huyo Dj Brownskin Bado hajatupwa ndani?!!!
Maana atasaidia upelelezi hadi atajua hajui
Watu wengi wana jadili hili jambo kutoka mwisho wa tukoi (out come), lakini hawaangalii na hawataki kujua mwanzo/chanzo (root cause)Mimi binafsi sijaona kosa la jamaa sababu jamaa hajamgusa huyo mwanamke hata chembe na hatujui story ya nyuma kilichomtuma ajiue.Hao watu ilitakiwa wakae wayajenge.Ila huyo kakimbilia kujiua
Hiyo video iko wapi?.Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake.
Video hiyo ilianza pale ambapo mkewe anaonekana akikoroga mchanganyiko wa dawa zenye sumu kwenye kikombe, huku akimwambia mumewe kuwa anataka kujiua na baada ya hapo alikunywa na kutupa kikombe na kisha kuketi kwenye kochi.
Dakika chache baadae anaanza kutokwa na povu mdomoni na kuwaambia watoto wake kuwa “nakufa wanangu” – lakini muda wote huo Brownskin haonekani kuchukua hatua yoyote ya kujaribu kuokoa maisha ya mkewe, bali aliendelea kumrekodi akijigaragaza kwenye kochi kisha kuanguka sakafuni.
Baada ya kuanguka sakafuni, Brownskin anamuita msichana mmoja anayedhaniwa kuwa msaidizi wa kazi aliyefika kwenye sebule na kumtaka kumpa maziwa.“Kuna maziwa, hebu mpe maziwa, mlazimishie akunywe,” anasikika Brownskin akimwambia msichana huyo.
Hata hivyo, mkewe wakati huo anaonekana kulemewa kabisa na sumu na yuko sakafuni akijigaragaza kutokana na makali ya sumu mwilini, hawezi hata kushika kikombe cha maziwa.
Naomba hiyo video whatsapp tafadhali, mi sijaona.Atupwe mahabusu kwa kosa gani??
DoneNaomba hiyo video whatsapp tafadhali, mi sijaona.
Asante
Bora usiiangalie mm natamani nisingeitazama.Mwenye video please
NdioUnauwezo wa kuzuia kifo?
Soma huo Uzi hapo chini..Atupwe mahabusu kwa kosa gani??
Hiyo nilisha isoma tangu jana mkuu, na hapo yamejaa maoni na mitazamo ya watu binafsi.Soma huo Uzi hapo chini..
👇👇
![]()
Wakenya waomba polisi kumkamata DJ Brownskin kwa kumrekodi mkewe akijitoa uhai
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wamebaki vinywa wazi baada ya video kuvuja ikionesha jinsi DJ BROWNSKIN alimrekodi mkewe akijitoa uhai. Marehemu Sharon Njeri Mwangi anasikika akisema kuwa anataka kujitoa uhai ambapo anachanganya dawa na sumu ndani ya kikombe kisha kunywa kwa haraka...www.jamiiforums.com
Ndani ataendq na anaweza kukaa sana kwa usalama wake. Sijui sheria za Kenya ila ingekua bongo, hana kosa kabisaDuh..
Huyo Dj Brownskin Bado hajatupwa ndani?!!!
Maana atasaidia upelelezi hadi atajua hajui