Aisee! Shangaa na wewe

Aisee! Shangaa na wewe

Duh yule mtoto masikini!!!!
Huyo dj hana hata chembe ya huruma jmn hata km mama kayataka mwenyewe
 
Wanawake tunaishi nao tunajua tabia zao mwanamke mwanaume usipokua na msimamo umekwisha unaweza ukatangilia wewe yeye ukamuacha kwa hio ukiwa na msimamo hatua ya mwisho anaona Bora kujimaliza yeye mwenyewe maana wewe umegoma kumalizwa sababu una msimamo wako binafsi, ukiwa huna msimamo mbele ya mwanamke you're dead tena haufi mbele ya camera unakufa usingizini asubuhi anapiga ukunga weeee hukuuuuu majiraniiii anajilizaaa wewe kuja kushtuka umekufa
Kwanini uishi na mwanamke ujipe kero zote hizo kwanini usiishi mwenyewe?
 
kwanini usiishi mwenyewe
Naishi mwenyewe mkuu ndio maana nazungumzia uhalisia wangu sio uhalisia wa mwanamke, tho naishi na mwanamke Ila ni km naishi mwenyewe simuingilii kwenye mambo yake na yeye anaheshimu mambo yangu life linasonga no stress
 
Lengo la kuishi pamoja lilikuwa nini kama kama unaishi kama uko peke yako!!!
 
Lengo la kuishi pamoja lilikuwa nini kama kama unaishi kama uko peke yako!!!
Akili mkuu ishi nae kwa akili km upo kwenye Battle field alafu umewekwa Frontline kwa hio tumia vizuri akili yako hapo Frontline kifo nje nje usipokua makini, usipoelewa na hii ndio basi Tena huwezi kuelewa tena
 
Kabla ya kumuhukumu mwanaume kwa kurekodi mbele ya mtoto.
Yaan mtu mwenye akili zako unakoroga sumu, pengine unaiweka kwenye Friji ili IPOE kabisa unamsubiri mume ili unywe mbele zake, ukitegemea Akuokoe kwa kuwa mnaitana bebi bebi,
Ukute mwanaume alikuwa na stress zake liva wamemchania mkeka afu we unakunywa sumu mbele yake...
 
Hujajibu swali , lengo la kuleta kero/adui nyumbani kwako lilikuwa nini ?
 
Kabla ya kumuhukumu mwanaume kwa kurekodi mbele ya mtoto.
Yaan mtu mwenye akili zako unakoroga sumu, pengine unaiweka kwenye Friji ili IPOE kabisa unamsubiri mume ili unywe mbele zake, ukitegemea Akuokoe kwa kuwa mnaitana bebi bebi,
Ukute mwanaume alikuwa na stress zake liva wamemchania mkeka afu we unakunywa sumu mbele yake...
Tena imekua vizuri alirecord maana kesi ingemrudia kua ameua kumbe mtu kajiua mwenyewe na kifo kakipanga mwenyewe sasa mtu kaandaa hadi dawa kakoroga kanywa alijua anakunywa juice au?,
 
huyuu jamaa amenisikitisha ata kama humpendi sio kufanya vilee. jamaa anaroho ngumu. kuna kitu watu hawaelewi ila hiyoo damu itamtesa mpaka anaingia kaburini. na huyoo dogo ni mwiba kake.

alafu unakuta yeye ndio chanzo kama ameweza kumvideo akiwa anakata roho. ata video za ngono za wanawake wengine alikuwa anachukua na kuziacha kwenye simu. fck him he derve punshmnt.
Huyo jamaa hata kuvuja kwa hii video akiishi mda mrefu kweli atamalizwa na mwanae hii haitomuacha salama kabisaaaa
 
lengo la kuleta kero/adui nyumbani kwako lilikuwa nini ?
Sio kero sio adui elewa kwanza kabla haujauliza nmekwambia mwanamke akikubuluza wewe huchukui round unakufa ndani ya mda mfupi tu Ila ukiwa na msimamo akitaka hiki unachomoa akisema hiki unachomoa mwanamke timamu atafuata unachomwambia mwanamke zuzu chizi kichaa punguani hamnazo atakoroga sumu afe,
 
Kwanini uishi na mtu anayekuburuza?
 
Back
Top Bottom