Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,106
Baada ya kurekodi mke wake akijiua jamaa anaonekana kwenye msiba akimlilia na kusikitika.Hii ni zaidi ya unafiki.
Ooho kuburuzwa ? Nani kakwambia naburuzwa aisee unasoma vizuri nnachokiandika au unadandia maelezo Mimi ndio nipo frontier ushaelewa I say I say you follow hutaki chukua habari zako nenda, hakuna muda wa kubembelezana nimekwambia mwanamke ndani ya nyumba ukimuendekeza sana unakufa huchukui round you're dead man kwa hio ishi nae kwa akili na tahadhari usikubari kila kitu akitaka kujiua muache ajiue maana ameamua mwenyewe kufa Ila usimuue maana utakua umefanya kosa la jinai,Kwanini uishi na mtu anayekuburuza?
Unauwezo wa kuzuia kifo?Mshaambiwa ishini nao kwa akili, kama huna akili usioe!!
Tangu lini mwanaume na mwanamke wakawa na akili sawa??
Ukiwa na mke jua wewe ni baba yake, kaka yake nk kifupi wewe ni kiongozi wake wa kila kitu.
Huyo jamaa ni zezeta na nyote mnaomsupport dj akiwemo mpwayungu village wote ni mazezeta, huyo ni kama mwanao tu.
Jamaa lilivyo jinga likaacha dogo ashuhudie as if ni ushujaa dogo kuona mama yake akikata moto huku baba hajishughulishi na chochote!!
Hiii confidence yako n ya kishetani walahHuwezi kumzuia mtu kufa, hawa super woman mda wao wa kubembelezwa umekwisha ngoja siku zisonge tuone Nani mwanaume
Acha iwe hivyo ndo vizuriHiii confidence yako n ya kishetani walah
Sometimes huruma inaenda mfukoni mtu kalazimisha mwenyewe utamzuia kataka mwenyewe kufa unamzuiaje akuue alafu ajiue?Duh yule mtoto masikini!!!!
Huyo dj hana hata chembe ya huruma jmn hata km mama kayataka mwenyewe![]()
Tofautisha confidence na roho mbayaHiii confidence yako n ya kishetani walah
Angalia video utaelewa acha kua na mhemko angalia video kwa umakini utaelewa jamboTofautisha confidence na roho mbaya
Angalia video utaelewa acha kua na mhemko angalia video kwa umakini utaelewa jambo
Kumbe ni mwaka Jana,Hili tukio ni la mwaka Jana.Dj Brown skin alimrekodi mke wake akijiua lakini Kwa akili za kawaida Kuna mtu anaweza akafanya tukio la aina hiyo na kupata ujasiri wa kutuma mitandaoni??
Inasemekana alituma video Kwa rafiki wake mmoja wapo anayemuamini na huyo rafiki yawezekana ndiye kavujisha maana simu ya Dj Brown skin haikuwa hacked.
Mkuu kua uyaone ubaya hawatulazimishi kujaza miaka humu shida ndio ipo hapo kua uyaone ya wanawake sisi tuliokua tumeshayoana na kujifunza mengi, kuna wakati usipokua na roho ngumu za kum-control anaweza akat*mbwa mbele yako na usimfanye kitu huyo ndio mwanamkeSijaiangalia na sitokuja kuiangalia. I don't need more filth/negativity in my system
If there's anyone who needs growing here it's you.Mkuu kua uyaone ubaya hawatulazimishi kujaza miaka humu shida ndio ipo hapo kua uyaone ya wanawake sisi tuliokua tumeshayoana na kujifunza mengi, kuna wakati usipokua na roho ngumu za kum-control anaweza akat*mbwa mbele yako na usimfanye kitu huyo ndio mwanamke
Ni mwaka Jana ila video imevujishwa leoKumbe ni mwaka Jana,
Muwe na siku njema leo ni sikukuu ya Matawi, wiki inayo kuja ijumaa ni Ijumaa kuu na Jumapili ni Pasaka
Mkuu kua uyaone ubaya hawatulazimishi kujaza miaka humu shida ndio ipo hapo kua uyaone ya wanawake sisi tuliokua tumeshayoana na kujifunza mengi, kuna wakati usipokua na roho ngumu za kum-control anaweza akat*mbwa mbele yako na usimfanye kitu huyo ndio mwanamke



