Aisee! Shangaa na wewe

Aisee! Shangaa na wewe

Daaah watu mna roho ngumu asee
Umewahi kuwa na mwanamke mwenye ma drama mkuu? Mwanamke anaeweza kutaka kunywa sumu halafu ukimzuia na kumuuliza kwa nini ulitaka kujiua? Anakujibu, nilitaka kujua kama unanipenda!

Mkuu hawa viumbe wasikie tu. Kama una mtu mwenye mapungufu ya kibinadam mshukuru Mungu. Hawa viumbe wana kero zao.
 
Mpaka alifikia kujitoa uhai mbele ya mme wake basi inaonekana kabisa kulikuwa na mgogoro mkubwa wa mda mrefu kati yao

Hatuwezi kujua lakini inaonekana jamaa alikuwa bully sana na huenda ana kimada ambapo mke alikuwa hana nguvu kwa jamaa na inaonekana alikuwa anampiga sana

Acha tuwaze ya kwetu ila hapo inaonyesha kabisa mwanaume ndio alikuwa kichocheo cha mke wake kujiua na alijua anajiuwa na akarekodi kwa roho yake mbaya

Mfanyakazi wa ndani anajua maisha yao atatoa majibu pia watoto wanajua pia

Watoto ndio wa kuwahurumia zaidi kwani kuona mama anakufa huku baba akirekodi ni ngumu sana kwa maisha yao
Mkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!

Mchumba wangu alitaka kunywa sumu miezi minne kabla ya ndoa yetu kisa nimemwambia gauni lake la harusi tutakodi badala ya kushona.

Sasa hebu kaa kwenye nafasi yake wewe unaweza kutaka kufa kwa sababu hio? Kuna wanawake ni wajinga kuliko ujinga wenyewe
 
Hiyo nilisha isoma tangu jana mkuu, na hapo yamejaa maoni na mitazamo ya watu binafsi.
Lakini swali langu linabaki palepale kwamba..... huyo DJ whatever akamatwe kwa kosa gani??
Basi hujasoma bado..
Achana na posts za wachangiaji, soma post #1 tu, yaani andiko la mleta mada.
Mwisho wa uzi kaweka makosa, halafu ameweka muhtasari kutoka kwenye andiko la sheria husika, siyo mawazo ya kichwani mwake.
Ukiona bado huna uwezo wa kuelewa pita kimya kimya, maana siyo kila jambo linaeleweka Kwa kila mtu!
 
Mkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!

Mchumba wangu alitaka kunywa sumu miezi minne kabla ya ndoa yetu kisa nimemwambia gauni lake la harusi tutakodi badala ya kushona.

Sasa hebu kaa kwenye nafasi yake wewe unaweza kutaka kufa kwa sababu hio? Kuna wanawake ni wajinga kuliko ujinga wenyewe
Mpenzi wako alikuwa na shida kwenye ubongo jmn
 
Mkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!

Mchumba wangu alitaka kunywa sumu miezi minne kabla ya ndoa yetu kisa nimemwambia gauni lake la harusi tutakodi badala ya kushona.

Sasa hebu kaa kwenye nafasi yake wewe unaweza kutaka kufa kwa sababu hio? Kuna wanawake ni wajinga kuliko ujinga wenyewe
Hawa viumbe wana hisia kali mno kiasi ambacho wanakuwa tofauti kabisa na sisi

Hayo yaliyokutokea wala siwezi kubisha kwani nimewasoma sana na nina wake na watoto wa kike pia na tabia za wa kiume na wa kike ni totally different

Hebu nikupe mfano wa hawa viumbe
Mwizi aliingia kwenye nyumba ya mshkaji
Jamaa akajipanga na kumsubiri, mwizi alikuwa na panga kwa hiyo hapo kakusudia kuuwa au sio?

Jamaa alimkata ngumi ya kushtukiza na kumvaa mpaka chini
Panga kule, kwa kuwa mwizi hakutegemea jamaa alimpiga sana mpaka akaomba poo
Sasa kipigo kiliendelea mpaka mke wake kwa masikitiko akaanza kulia na kusema Mwache utamuua

Sasa hao ndio viumbe tunaoishi nao
Ni kuwavumilia sana
Akisema najiua ujue hatanii
 
Mtu kataka kufa mwenyewe unamzuia wa nini?
Halafu mkumbuke hapa duniani tunapita, huyo kaandikiwa kifo cha namna hiyo
Kuua, pamoja na kujiua mwenyewe, ni kosa la jinai. Ukipanga kujiua halafu ukanusurika utashitakiwa mahakamani. Kwa hiyo usiulize: mtu kataka kufa mwenyewe unamzuia wa nini?
 
Nimeona hiyo video jamaa alikuwa mtu mmbaya huwezi mwangalia mtu anakunywa sumu anaanza kupoteza nguvu mpaka anaanguka akitoa povu ndo unamwita msichana alete maziwa tena humpi wewe unamwambia msichana wa kazi mpe we ukiendelea kurecord kila kitu.
Labda kwasababu mwanamke alitumia mbinu ya kunywa sumu mana itamuuwa mwenyewe ndo mana jamaa akapata muda wa kurecord.
Ila kama mwanamke angefunga milango yote akamwaga petrol ndani alafu awe kwenye harakati za kutafuta kiwakishio sijui kama huyo jamaa angekumbuka kama simu inayo uwezo wa kurecord.
Yote ya yote jamaa anakesi ya kujibu...🙌🙌🙌
Kuhusu ku-record, sijui kama kweli mme alifanya hivyo. Inawezekana kulikuwa na CCTV inayo-record saa 24 kunasa wevi au hujuma zinazofanywa na dada wa kazi. Kwani kuna mtu mwingine aliyem-record aki-record?
 
Wewe video utakua hujaiona ni jamaa ndio kurekodi tena na simu ya mkononi kifupi jamaa ana roho ngumu sana hata kama mke hampendi ila sio vile
 
Mkuu video ninayo sio CCTV ni camera ya simu na mume ndo alikuwa ameshika mana ukiangalia mwanamke alianguka karibu na koch jamaa alilokuwa amelala naweza kukutumia ukajiridhisha kwamba jamaa alikuwa na ujasiri wa ajabu kabisa.
 
Nimeona hiyo video jamaa alikuwa mtu mmbaya huwezi mwangalia mtu anakunywa sumu anaanza kupoteza nguvu mpaka anaanguka akitoa povu ndo unamwita msichana alete maziwa tena humpi wewe unamwambia msichana wa kazi mpe we ukiendelea kurecord kila kitu.
Labda kwasababu mwanamke alitumia mbinu ya kunywa sumu mana itamuuwa mwenyewe ndo mana jamaa akapata muda wa kurecord.
Ila kama mwanamke angefunga milango yote akamwaga petrol ndani alafu awe kwenye harakati za kutafuta kiwakishio sijui kama huyo jamaa angekumbuka kama simu inayo uwezo wa kurecord.
Yote ya yote jamaa anakesi ya kujibu...
Mm nampongeza jamaa kwa kitendo chake kwa sababu anasema alishamfumania mkewe mara mbili akisex na marafiki zake wawili kwa wakati tofauti tena akiona sio kwa kuambiwa akitaka kumuacha mwanamke akawa anatishia kua akiachwa atajiua so acha afe tu na umalaya wake
 
Na jamaa anasema sababu ya mwanamke kujiua ni baada ya mume kumfumania mkewe akitombwa na marafiki zake wawili mume akaamua kumuacha mkewe lkn mkewe akawa hataki anasema akiachwa atajiua sasa mwanamke km huyo ni bora alivyojiua tu nyoko zake
 
Haya ni matoke ya zile kampeni za ma super women. Mara mnaambiwa muwe na maamuzi magumu, sasa mwenzenu kafaulu vizuri, kafanya maamuzi magumu. Mmekua na drama drama za kipuuzi, watu wanawachoka. Hata yule aliekua anampa maziwa anaonekana hana hata mshtuko. Maana yake huyo mwanamke alikua mtu wa madrama hadi walimchoka na kuona kawaida yake.

Sasa hivi hatuwapigi hata kibao, maana mnatetewa sana. Mtakua mnajidhuru wenyewe tu huku sisi tukishudia na kurekodi kama DJ wetu pale Kenya. Kuna wanawake wapuuzi watakuja na kusema yule mwamba ana roho mbaya, go to hell.

Upumbavu pro max plus
Ndiyoo yaani super woman sasahivi akisumbua ni kununua sumu tu na kumtengea kwenye kabati kabisa akijiskia akoroge anywe sisi tunarekodi video tunatupia insta na mitandao mingine.
 
Na jamaa anasema sababu ya mwanamke kujiua ni baada ya mume kumfumania mkewe akitombwa na marafiki zake wawili mume akaamua kumuacha mkewe lkn mkewe akawa hataki anasema akiachwa atajiua sasa mwanamke km huyo ni bora alivyojiua tu nyoko zake
Kuna jamaa kaposti Uzi amerudi nyumbani baada ya miezi SITA ya kazi anakuta wife ana mimba kama ya miezi mitatu.

Kwanini sasa Dj alaumiwe nyie wenyewe mnajionea akili za wanawake.
 
Huyo mwanamke WA dj kanywa sumu zaid ya mara tatu , round hii dj kaona ni upuuz ngoja afe
 
Mkuu video ninayo sio CCTV ni camera ya simu na mume ndo alikuwa ameshika mana ukiangalia mwanamke alianguka karibu na koch jamaa alilokuwa amelala naweza kukutumia ukajiridhisha kwamba jamaa alikuwa na ujasiri wa ajabu kabisa.
Kama ni hivyo, basi huyo jamaa ni wa kushangaa sana na inabidi achukuliwe hatua sipasazo.
 
Wewe video utakua hujaiona ni jamaa ndio kurekodi tena na simu ya mkononi kifupi jamaa ana roho ngumu sana hata kama mke hampendi ila sio vile
Kama ni hivyo basi sijui ulimwengu unaelekea wapi kuwa na watu wa dizaini hiyo.
 
Back
Top Bottom