Aisee! Shangaa na wewe

Aisee! Shangaa na wewe

eti ndio tunajiita great thinkers, kwamba tunaona huyo mama kujiua kwake ilikuwa ni starehe na ameinjoy, eti Jamaa hajakosea....
Unajua kila mtu ana mtizamo wake kuendana na madhira anayoyapitia, Mimi nitakueleza kitu nilikua na msuguano au kutokulewana na wa karibu yangu na sababu ni kumpa mamlaka makubwa ndani ya nyumba kosa hili nilifanya sio kwa ubaya Ila ni kwa sababu sasa mtu umempa mamlaka yote ya nyumba km kusimamia bills zote za nyumba kusimamia masuala ya watoto na mengineyo lakini huyu mtu mwisho wa siku unakuta matumizi ni makubwa na anashindwa kusimamia niliyomwambia asimamie unafikiri mtu km huyu unamfanyanye km sio kumweka chini na kumtoa kwenye reli ili usiendelee kuingia hasara, pesa za bills unampa alipe halipi ushaelewa, nk sasa unafika hatua mwanaume lazima urudi kwenye uanamume wako uonyeshe wewe ni Nani ndani ya nyumba na mwanamke ni lazima akusikilize hio ni must mwanamke hatakiwi kua kiburi na jeuri hata kidogo mwanamke inabidi awe msikivu kwa mwanaume wake na sio kumvimbia sio kujilinganisha na yeye kujiona km mwanaume TU hawana tofauti Sasa akifika hatua hio ndio anapochukua glass na kukoroga sumu maana anaona mwanaume hana tofauti yoyote na yeye
 
Hesabu hasara songa mbele...

Haya anaenda kuozea jela, amem traumatize mtoto sasa faida iko wapi!
Anaenda kuozea jera kwa kesi ipi au unadhani mahakama inafanya kazi kwa mihemko kama fikira zako zinavyo kutuma?

Kwenye hilo tukio kosa pekee la huyo jamaa ni kumrekodi tu hana kesi nyingine ya kujibu maana huyo mwanamke kajiua yeye mwenyewe.
 
Mkuu kua uyaone ubaya hawatulazimishi kujaza miaka humu shida ndio ipo hapo kua uyaone ya wanawake sisi tuliokua tumeshayoana na kujifunza mengi, kuna wakati usipokua na roho ngumu za kum-control anaweza akat*mbwa mbele yako na usimfanye kitu huyo ndio mwanamke
Oya mkuu au inawezekana huyu jamaa DJ Brown skin kafanyiwa mengi mabaya zaidi ya hayo ndiyo maana aliona Bora alipe na yeye kisasi amuache tu aangamie.
 
Naona mafeminist wamefuraaa hatari kama mwenyewe kashindwa kujipenda na kujithamin mimi ni nani ....?

Hawa wanawake wamewashika ufahamu hadi hamjielewi....

Utakuta mwanamke mwenyewe kasha Tishia kujiua hadi jamaa kamchoka
 
Na video itabaki watoto watakuwa wataiona wakiwa na akili ya kutambua makosa ya baba yao kutojali.
Watamuuliza kama uliweza mama hata sisi hukushidwa ni basi tu hukupata nafasi ukitambua thamani ya mama yako tambua thamani ya mama wa watoto wako ni mama yao kumbuka hupaswi kumfanya kama mnyama haijalishi vipi manaume unapaswa kushinda kila aina ya vita usiogope kupoteza mali but your honor ...
Utatambuje thamani ya mtu asiye jua thamani yake ?huyo mwanamke ameona uhai wake hauna thamani sasa ulitaka yy afanyeje?
 
Itakiwa kumzuia alafu kumshauri lakini pia kumsikiliza Dunia haipaswi kuwa katili kama unavyowaza watu wangekufa huko ndani ya nyumba sio watoto sio nani
 
Anaenda kuozea jera kwa kesi ipi au unadhani mahakama inafanya kazi kwa mihemko kama fikira zako zinavyo kutuma?

Kwenye hilo tukio kosa pekee la huyo jamaa ni kumrekodi tu hana kesi nyingine ya kujibu maana huyo mwanamke kajiua yeye mwenyewe.
Haya akaendelee kuishi kwa amani na mwanaye baada ya kushuhudia na ku record suicide 😒
 
Unajua wamepitia mangapi mpaka wanafikia hatua hiyo?
Kiufupi wanawake wa siku hizi wana akili za hovyo sana.
Achaneni bwana.
Kupitia kupitia utafkiri mnapewa tuzo za kupitia
 
Oya mkuu au inawezekana huyu jamaa DJ Brown skin kafanyiwa mengi mabaya zaidi ya hayo ndiyo maana aliona Bora alipe na yeye kisasi amuache tu aangamie.
Aacha kabisa yaan inafika hatua unasema liwalo na liwe maana unajua mkiwa kwenye hio battle mkawa hamuelewani ndani kinachofuata ni ugomvi wa chini kwa chini understanding inakufa kichofuata ni underground battle mwanamke mwenye akili ataacha mara moja kupigana Vita na wewe Ila mwanamke kichaa ataona Vita ni Vita sasa mwisho akishindwa Vita ndio uamua kujimaliza mwenyewe kwamba nwenwenwe hunipendi na nini na nini basi napugia sumu na wewe ukiangalia ukurasa wa nyuma roho ya huruma kwake inakua ishakufa kitambo yaan ile roho ya kusema sasa nimuonee huruma nimuokoe inakua ishapotea the end ni kusema fine fanya unavyoona inafaa, wewe mtu una battle nae anakoroga sumu uende ukajipendekeze akunyweshe na wewe mfe wote?
 
Naona mafeminist wamefuraaa hatari kama mwenyewe kashindwa kujipenda na kujithamin mimi ni nani ....?

Hawa wanawake wamewashika ufahamu hadi hamjielewi....

Utakuta mwanamke mwenyewe kasha Tishia kujiua hadi jamaa kamchoka
Mmechokana achaneni. Hampewi taji kuteseka
 
Naona mafeminist wamefuraaa hatari kama mwenyewe kashindwa kujipenda na kujithamin mimi ni nani ....?

Hawa wanawake wamewashika ufahamu hadi hamjielewi....

Utakuta mwanamke mwenyewe kasha Tishia kujiua hadi jamaa kamchoka
unamchokaje mtu wako we ulifikiri itakuwa soft kiasi gani kuishi na mtu jiandaee
 
Ukweli mchungu ni kuwa huyo mama alikuwa ana ufahamu kabisa kujiua ni dhambi.Hawa watu wanaojiua wangekuwa wanajuwa yanayofuata baada ya kujiua sidhani kama hata wangefikiria kufanya huo ujinga.
 
Unajua kila mtu ana mtizamo wake kuendana na madhira anayoyapitia, Mimi nitakueleza kitu nilikua na msuguano au kutokulewana na wa karibu yangu na sababu ni kumpa mamlaka makubwa ndani ya nyumba kosa hili nilifanya sio kwa ubaya Ila ni kwa sababu sasa mtu umempa mamlaka yote ya nyumba km kusimamia bills zote za nyumba kusimamia masuala ya watoto na mengineyo lakini huyu mtu mwisho wa siku unakuta matumizi ni makubwa na anashindwa kusimamia niliyomwambia asimamie unafikiri mtu km huyu unamfanyanye km sio kumweka chini na kumtoa kwenye reli ili usiendelee kuingia hasara, pesa za bills unampa alipe halipi ushaelewa, nk sasa unafika hatua mwanaume lazima urudi kwenye uanamume wako uonyeshe wewe ni Nani ndani ya nyumba na mwanamke ni lazima akusikilize hio ni must mwanamke hatakiwi kua kiburi na jeuri hata kidogo mwanamke inabidi awe msikivu kwa mwanaume wake na sio kumvimbia sio kujilinganisha na yeye kujiona km mwanaume TU hawana tofauti Sasa akifika hatua hio ndio anapochukua glass na kukoroga sumu maana anaona mwanaume hana tofauti yoyote na yeye
Maelezo meeengi achaneni bwana
 
Back
Top Bottom