sijaelewa "my off is empty" ana maana gani?
hahahaahahh, weee Numbisa kweeeeliiiii! hahahahaahah aiseee, umenifanya nacheka kwa sauti heeeeeeeeeeeeeee!!!!!Anamaanisha yupo free
hahahaah, furniture ndio future labda! hahahahahah
wewe uko ndani ya ndege au treni la![]()
kigoma?
Huyu lazima atakuwa byamungu...!
[emoji23][emoji23]you made my day....[emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]
Daaah
Huyu wa magharibi huyu