Nipo nipo nakufolo hahahahah
Siyo tupu yake iko offAnamaanisha yupo free
Ahaha huyu kweli Kivumbi....maana hilo vumbi sio mchezo
Lunch yenyewe iko WAP....au ndio kudanga
Mzuri Ila tatizo lughaSamsung=View attachment 626622 Something
Nguo WAP mkuu ...kwa kujibunua huko? Wenye experience zetu tushamfahamuNaona anaringishia nguo
fbk=Facebook![]()
![]()
![]()
ukitaka kujua elimu ya tanzania ni pasua kichwa..ingia fbk..kiingrishi zero, kiswahili hajieleweki uandishi wake..asieee bongo bahati mbaya kwa kila secta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani yupo off(haendi kazini)lakini off yake iko empty hana ratiba.sijaelewa "my off is empty" ana maana gani?
Nyundo hapo inamaanisha, utumie kitu kigumu kuvunja, usitumie mkono mtupu au teke kwani glass zitakukata.View attachment 626977hii sio facebook ni kwenye magari ya kihindi eicher..hasa daladala sasa apo hammer unatoa wap kwenye emergency