na huyo jamaa alivoshiba kazitikisa kweli
HahAHah viaoja vya fb.wewe uko ndani ya ndege au treni la kigoma?![]()
Kigoma bwana......
Ndege imening'iniza mikate hahahaKigoma bwana......
Wao wameona TRENI ni NDEGE kwao
Je wakiletewa hii ya MWENDOKASI sijui wataita MELI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kumbe jamaa anamaanisha "tuna-show love"? Nimechukua muda sana kumuelewa aise. Hahahaaa
Asee unamjibu huku sasa anakusikia??wewe uko ndani ya ndege au treni la kigoma?![]()
Mimi nimemjibu au nimemuuliza?Asee unamjibu huku sasa anakusikia??