kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,529
Eti muuba bigu jamani fb
afadhali tweeter, insta wakitoka facebook ndo wanakokimbilia ukitaka danganya kitu nenda facebook na watu wata like.Facebook asilimia kubwa ya watumiaji wke upeo mdogo sana we angalia tu post zao then fananisha na post za Twitter hv ama insta!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaahahha huyu jamaa niko nae mtaa mmoja hahaahahaha jinga sana
Mkuu kama ni hivyo hata wao watasema ni "typing errors" tu
Best vipi,kimya ?!Numbisa naomba uwe una ni tag yaani nimecheka sana hahahahaha
nipo!Best vipi,kimya ?!