ukitaka kujua elimu ya tanzania ni pasua kichwa..ingia fbk..kiingrishi zero, kiswahili hajieleweki uandishi wake..asieee bongo bahati mbaya kwa kila secta.![]()
![]()
![]()
ukitaka kujua elimu ya tanzania ni pasua kichwa..ingia fbk..kiingrishi zero, kiswahili hajieleweki uandishi wake..asieee bongo bahati mbaya kwa kila secta.
Sent using Jamii Forums mobile app



kweli nyani haoni kundule 
pole sana mkuu. Pambana na hali yako kwanza mkuu. 

kweli nyani haoni kundule
pole sana mkuu. Pambana na hali yako kwanza mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakieleweki..typing errors mkuuHata km amekosea kuandika ila amejaliwa kwakweli..![]()
sent using my![]()
Duu, kama sio duniani vile