min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,651
- 172,193
Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook.
Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x š¤
Wewe nnje namambo yako ya msingi kama unataka pesa tamu ,tengeneza maudhui yako yaweke Facebook ,tafuta marafiki na wafuasi wako humo .
Kule kuna pesa hazina kazi na zinamwagwa kwako wewe mtengeneza maudhui mitandaoni, mwenye akili kubwa.