Hii post 100% kaandika Mke wa Jamaa. Kapata fununu huyo demu anatembea na Mme wake.
Numbisa naona defamation case ipo jirani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu nitaku foro..
Huyu bado kidogo tu angetukana..
Duuuu "dided by me"
waha kwa mbwembwe kitu cha chuma juu ya chuma kinaitwa ndege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uko ndani ya ndege au treni la kigoma?![]()