ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Lakini sasa na wewe ! Duuh sijui uliwapataje jamani maana hicho nacho ni kipaji.hongera.Watanzania pyuuaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini sasa na wewe ! Duuh sijui uliwapataje jamani maana hicho nacho ni kipaji.hongera.Watanzania pyuuaaa
Yeye mwenyewe kuandika hajuikweli nyani haoni kundule
pole sana mkuu. Pambana na hali yako kwanza mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini sasa na wewe ! Duuh sijui uliwapataje jamani maana hicho nacho ni kipaji.hongera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mwenyewe umeandika kama uko facebook!![]()
![]()
![]()
ukitaka kujua elimu ya tanzania ni pasua kichwa..ingia fbk..kiingrishi zero, kiswahili hajieleweki uandishi wake..asieee bongo bahati mbaya kwa kila secta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora angeandika kindengereko tu.
Facebook asilimia kubwa ya watumiaji wke upeo mdogo sana we angalia tu post zao then fananisha na post za Twitter hv ama insta!Nilichogundua kwenye huu uzi watu wengi facebook kuandika kunaleta shida hata Kiswahili kinasumbua