King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,541
😅😅😅😅Moja ya mambo ambayo siyaelewi kabisa ni kuwa baba wa kambo. Just imagine unacheza na mtoto ambae sio wako halafu mama mtoto anakuangalia huku akikuona kama katuni fulani
😅😅😅😅Moja ya mambo ambayo siyaelewi kabisa ni kuwa baba wa kambo. Just imagine unacheza na mtoto ambae sio wako halafu mama mtoto anakuangalia huku akikuona kama katuni fulani
the statistics states that people born in a single parent family have 60 % Chance of returning back to form a single parent families, that is 3 times the normal people.And the funny side the remaining 40 %cut into half in 5-10 years
data is data
Mwamba ngoja nikueleweshe kidogo katika angle ya kuielewa dhima ya hizi hoja,
Wewe unaelewa kama wanabezwa ila uhalisia sio kwamba wanabezwa.
Ni vijana wanaonyeshwa hali halisi ili pindi waingiapo katika mchakato wa kuishi na hawa watu wawe wanajua situation nzima iliyopo na itakayotokea katika maisha yao huko mbeleni.
So wasione kama ni suprise tena.
Hivyo waishi wakiwa wako tayari wamejiandaa kisaikolojia juu ya yajayo.
Nikupe mfano hai mimi nilioa single mother tukaishi miaka kumi tukaachana.
Nilivumilia mengi sana kama ambavyo yeye alivumilia kwangu.
But niliyoyavumilia ni hayo unayoyaona juu hapo kwenye mada.
Na hata sasa nipo na single maza mwingine.
But yule wa kwanza alinifundisha ni burtton gani sahihi ya kubonyeza napoishi na single maza au hata Kahaba yeyote.
Formation ishabadilika mkuu tunapotezeana tu muda sina issue serious tena na mambo ya kuoa hapa duniani.Sasa si ungetafuta binti asiye na mtoto, umerudiaje kosa lile lile la kuoa single mother?
Hata ndani ya ndoa kuna step daddies wa kutosha ni vile hawajui tu🙌🏽Moja ya mambo ambayo siyaelewi kabisa ni kuwa baba wa kambo. Just imagine unacheza na mtoto ambae sio wako halafu mama mtoto anakuangalia huku akikuona kama katuni fulani
Hawawasimangi ila kinachojadiliwa ni effects zinazotokana na single maza.Duuuh....
Mnawasinga saana wanawake wenye watoto.
Ni kwasababu tu ndiyo wanabeba ujauzito ila raha ya kupata hao watoto wamefanya na wanaume.
Matokeo ya yote haya ni dhambi, tusisahau hiyo.MAJORITY YENU HUMU NI WATOTO WA SINGLE MAZA WENGINE HATA BABA ZENU HAMUWAJUI KUTWA KUWASIMANGA SINGLE MOM,
SHUKURUNI GOOD FATHERS WALIO WASAPOTI MAMA ZENU, KUWA HAPA MLIPO!!
SINGLE MAZA AHESHIMIWE!
Inashangaza sana mzee mwenzangu. Kuoa tu ni gamble kwa sababu mustakhabali wa mahusiano haujulikani. Lakini kwanini ufanye gamble kwa mwanamke mwenye red flag wakati wasio na hiyo red flag wapo?Kwani wanawake wameisha hadi mtu uoe single mother
Formation ishabadilika mkuu tunapotezeana tu muda sina issue serious tena na mambo ya kuoa hapa duniani.
Ndio maana nachukua hawa hawa wajuaji ili tupotezeane muda vizuri
Kifupi tusongeshe life kiaina hapa duniani. Life is too short Nigga.
After all marriage is a scum so avoid it by any means.
Ahsante sana mkuu.Dah, pole sana
Kwanza unaweza ukashindwa hata kutofautisha kati ya peponi na motoniUkiweza kuishi na single mother, motoni utaishi fresh kabisa
Nakuelewa sana.Mtoto akiwa mdogo wanajifanyaga independent woman, sijui wapambanaji subiri mtoto akue masuala ya kulipa ada yaanze. Hapo baba wa kambo asipobebehwa gharama basi lazima mama mtoto arudi kwa mzazi mwenzie kudai child support na huo ndio mwanzo wa kupasha kipolo
Jamaa katupa dongo la chuma.Hapa single mamaz na waliooa single mamaz kimya kimya wanasoma
Nimecheka saaana.Imagine Yesu angezaliwa na single mother, hivi angekua vipi na uhalali wa kukemea uzinzi. Wafuasi wake si wangemuambia aanze kumpa mafundisho mama ake kwanza
😅😅😅 KatuniMoja ya mambo ambayo siyaelewi kabisa ni kuwa baba wa kambo. Just imagine unacheza na mtoto ambae sio wako halafu mama mtoto anakuangalia huku akikuona kama katuni fulani
Kuna mara 2,hivi mwanamke aliyeachika na kuwaacha watoto kwa mme wake bado ataitwa single mother huko aendako!