Aina za single mother

Aina za single mother

1. Single mother mjane.
Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother pekee ambae angalao unaweza kumfikria kumuoa.

2. Single mother mtalaka.
Huyu ametalakiana na mumewe. Atakujia na visingizio vingi vya kumchafua mumewe. Ukweli ni kwamba uyo ndie mwanaume aliekubali kuolewa nae, alikula nae kiapo, alizaa nae na ametalakiana nae.

Kama ameondoka kwenye ndoa iyo nini kinakuaminisha hatakuacha na wewe hata baada ya kubeba jukumu la malezi ya mtoto/watoto wake?

3. Single mother wa bahati mbaya.
Kijana mwenzangu, mimba sio malaria. Haikutokea tu bila kutarajia. Alijua risk ya anachokifanya lakini alipuuza.

A woman careless with her womb will be even more careless with your destiny. Run away my brother.

4. Single mother mnyanyaswaji.
Inawezekana kweli kuna abuse alikutana nazo lakini unatakiwa kujua ukweli kwamba, kwa kiasi kikubwa abuse anazokutana nazo mwanamke kwenye mahusiano/ndoa zinasababishwa na mwanamke huyo kukataa kurekebishika, kutingisha mamlaka ya mwanaume au kukataa kuwajibika. You are not marrying her you are adopting her unresolved demons. Stay away from her.

5. Single mother aliebakwa.
Ni kweli huruma ni sifa ya binadamu, lakini usioe kwa sababu ya kumwonea huruma mwanamke. A traumatic past doesn't guarentee a peaceful future. Jiulize tayari majeraha yake moyoni yamepona au bado kila mwanaume anamwangalia kama potential rapist?.

Pia usisahau aliweza kuizuia iyo mimba tangu ikiwa changa lakini alichagua kuzaa, sio maamuzi mabaya lakini hii maana yake alichagua kuwa mama bila uwepo wa baba. Are you ready to fund a trauma you didn't cause? If not toka nduki.

6. Chaotic single mother.
Kuna wanawake ambao hawawezi kuishi bila drama. Ndoa/mahusiano yake na baba mtoo yalikua poa lakini kuna kitu anaona kinapungua, ni nini hicho kitu? ni drama na chaos. Chaos isn't situational, it's character. If she ran away from a fine marriage/relationship she will run again when you don't entertain her inner chaos.

7. Single mother feminist.
Huyu ni yule ambae anafikiri career au uwezo wa mwanamke kulipa bill ni replacement ya baba kwenye malezi ya mtoto. Huyu hataitambua nafasi yako kama mwaanaume, licha ya changamoto ya mtoto wake, vilevile kuoa aina hii ya single mother ni kutengeneza kizazi cha watoto wa kike wasiokua na maadili na watoto wa kiume mashoga au legelege.

7. Single mother aliehitaji mtoto.
Umri unaenda na hakuna dalili za kuolewa au circle ya mashoga zake wote wana watoto kasoro yeye tu. Akaona azae tu alee mtoto wake. Akupata mimba kwa kudanganywa, alipata kwa kupanga. Alitaka mtoto bila mwanaume/baba mtoto, sasa anatarajia wewe uingie kwenye maisha yake na kuwa baba wa mtoto wake.

Sikiliza kijana mwenzangu. Kama haukua kwenye vision yake tangu mwanzo basi wewe ni plan B.

Ukimuoa uyo mwanamke, haujengi familia isipokua unaingia kwenye ushindani na mtoto wake uliemkuta nae. You will always come second.

ZINGATIO: Mwanaume kuoa tu ni risk, ila ukioa single mother iyo risk inajizidisha mara 10. Ukiamua kuwa baba wa kambo ni uamuzi wako lakini usije ukasema hatukukuambia.

Oa kwa umakini, kwa sababu baada ya sherehe na shamrashamra za ndoa kuisha kitakachobaki ni ule mkataba wa ndoa ambao unalinda masilahi ya mwanamke, na hautambui wala kujali chochote kuhusu mwanaume.

Don't be a simp.
Mkuu hii sio poa kbs
 
Duuuh....

Mnawasinga saana wanawake wenye watoto.

Ni kwasababu tu ndiyo wanabeba ujauzito ila raha ya kupata hao watoto wamefanya na wanaume.
Mwenye uamuzi wa kubeba mimba ni mwanamke,bora uoe malaika wa Shetani kuliko kuoa single mama.
 
Mwenye uamuzi wa kubeba mimba ni mwanamke,bora uoe malaika wa Shetani kuliko kuoa single mama.
Utabarikiwa kuwa na single mother tu kwenye ukoo.

Kama sio mama yako, shangazi, mwana....
 
Back
Top Bottom