Mleta mada ni Mwanaume Ujumbe ni kwa Wanaume ila we na Kishuzi chako unachowachunia malofa wenzio unakataza haya mawaidha jua huu ujumbe sio kwa ajili yako.Akubalike ni yeye lakini aache kuwananga single Maza kwa namna yoyote ile,
Nimelelewa na wazazi wawili,
Mimi sintooa single Maza,
Ila mtu akiwasema vibaya lazima niruke naye
Tafuta uzi wa jinsi yA kumlidhisha Mume kuna kitu utajifunza sawa Dada?