Aina za single mother

Aina za single mother

Preach bro, preach bro
Make Men Great Again

By the way tuwakumbushe pia kuwa kuoa single mom ni fedheha sana maana unaanza kulea bao la mwanaume mwenzako

Sir God anataka mwanaume aanzishe familia yake na sio ajiunge kwenye familia iliyoanzishwa na mwanaume mwenzake

Imagine Sir God mwenyewe alimchagua Maria awe mama ya Yesu mwanamke ambaye alikuwa bikira na hakuwa single mom

Hata mama aliyemlea kijana wake akiwa single mom ni ngumu sana kumuunga mkono kijana wake amuoe single mom mwenzake

Imagine siku unaenda kwa wazazi wako na watoto wa single mom halafu unawaambia hawa ndiyo babu na bibi yenu lazima wazazi wako wakuone zezeta

Inatia kinyaa sana kuoa aina hizi tatu za wanawake:
  • Single mom​
  • Asiye bikira​
  • Aliyejichubua​
 
Preach bro, preach bro
Make Men Great Again

By the way tuwakumbushe pia kuwa kuoa single mom ni fedheha sana maana unaanza kulea bao la mwanaume mwenzako

Sir God anataka mwanaume aanzishe familia yake na sio ajiunge kwenye familia iliyoanzishwa na mwanaume mwenzake

Imagine Sir God alimchagua Maria awe mama ya Yesu mama ambaye alikuwa bikira na hakuwa single mom

Hata mama aliyemlelea kijana wake akiwa single mom ni ngumu sana kumuunga mkono kijana wake amuoe single mom mwenzake

Imagine siku unaenda kwa wazazi wako na watoto wa single mom halafu unawaambia hawa ndiyo babu na bibi yenu lazima wazazi wako wakuone zezeta

Inatia kinyaa sana kuoa aina hizi tatu za wanawake:
  • Single mom​
  • Asiye bikira​
  • Aliyejichubua​
Imagine Yesu angezaliwa na single mother, hivi angekua vipi na uhalali wa kukemea uzinzi. Wafuasi wake si wangemuambia aanze kumpa mafundisho mama ake kwanza
 
MAJORITY YENU HUMU NI WATOTO WA SINGLE MAZA WENGINE HATA BABA ZENU HAMUWAJUI KUTWA KUWASIMANGA SINGLE MOM,

SHUKURUNI GOOD FATHERS WALIO WASAPOTI MAMA ZENU, KUWA HAPA MLIPO!!

SINGLE MAZA AHESHIMIWE!
Masimp kama nyie ndio mnapeleka mawazo kwenye akili za wanawake kwamba kufanya umalaya ni sawa maana watakapostaafu hawawezi kukosa bumunda la kuwaoa.

As long as idiot simps like you exists women will see no reason to protect their dignity and embrace femininity
 
Simp ni wewe kutwa kuhangaika na mambo yasiyo kuhusu,

Acha single Maza waheshimiwe!!
 
Wanaume wanawasimanga SINGLE MOTHERS
SINGLE MOTHERS wanatusimanga sisi kuwa hatujui leba..
Wenye ndoa Hali kadhalika wanatusimanga hatujaolewa! Dunia haina huruma
Daaah kweli dunia haina huruma...
Ila kuna single maza wengine ni wapambanaji yaani naweza sema ndo feminist sijui..

Mfano nina ndgu yangu an yeye hana shobo na baba wa wanawe kwanza yeye mwenyewe ni jeshi tosha aiseeee...

Ila kwenye upwiru sijui anamaliza vipi aiseeee 🙌 🙌 🙌 🙌
 
Tafuta hela uache kua na muda wa kuwasimanga wanawake mitandaoni.
Mkuu anapenda u edit your comment uongeze neno tafuta pesa kwa kufanya kazi..

Na kazi yenyewe iwe ya kuvuja jasho.
Mfano usimwambie atafute pesa alafu aende kusema anafanya forex...

Sifa ya mwanaume tafuta pesa kwa kuvuja jasho..
Fanya kazi ya kuvuja jasho mfano
Saidia fundi...
Kazi za ujenzi barabarani
Kutembeza maji
Na kazi mbali mbali
 
We na wewe unakuwa kama unalaliwa muda mwingine

wewe na pc yako unakuwa ni Dem maake huvuji jasho ?
 
Back
Top Bottom