Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,198
Wewe uliyezaliwa na baba na mama una manufaa gani zaidi ya uozo !!
maisha ya broken people unayajua tu. find your father you retard
Wewe uliyezaliwa na baba na mama una manufaa gani zaidi ya uozo !!
find your father Acha kuliaWewe uliyezaliwa na baba na mama una manufaa gani zaidi ya uozo !!
kabisa. we support thisHakuna mwanamke anaependa kuwa single mother ni vile tu we can't control outcomes
Kwenye kikao chenu muambizane matumizi ya condoms
Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke alizaliwa akiwa single Mather hivyo hizo tabia zote ulizotaja wanazo tangu wakiwa hawana watoto hivyo jua hata ukioa asie na mtoto anaweza kukuacha kama hao single mother walivyoachika walipokuwa, hivyo hiyo si sababu, na Wala hakuna sifa utataja ya kudumu na Mwanamke Wala Mwanamke kudumu na mume Bali kifo ndo kitaonyesha mmedumu, bila kujali ni single Mather au hapana, wewe ni muoga, Simba hujaribu bahati yake huku akijilinda asidhurike, Oa Mwanamke na jilinde asikudhuru, Olewa na mwanaume na jilinde asikudhuru, Imeisha hiyo.1. Single mother mjane.
Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother pekee ambae angalao unaweza kumfikria kumuoa.
2. Single mother mtalaka.
Huyu ametalakiana na mumewe. Atakujia na visingizio vingi vya kumchafua mumewe. Ukweli ni kwamba uyo ndie mwanaume aliekubali kuolewa nae, alikula nae kiapo, alizaa nae na ametalakiana nae.
Kama ameondoka kwenye ndoa iyo nini kinakuaminisha hatakuacha na wewe hata baada ya kubeba jukumu la malezi ya mtoto/watoto wake?
3. Single mother wa bahati mbaya.
Kijana mwenzangu, mimba sio malaria. Haikutokea tu bila kutarajia. Alijua risk ya anachokifanya lakini alipuuza.
A woman careless with her womb will be even more careless with your destiny. Run away my brother.
4. Single mother mnyanyaswaji.
Inawezekana kweli kuna abuse alikutana nazo lakini unatakiwa kujua ukweli kwamba, kwa kiasi kikubwa abuse anazokutana nazo mwanamke kwenye mahusiano/ndoa zinasababishwa na mwanamke huyo kukataa kurekebishika, kutingisha mamlaka ya mwanaume au kukataa kuwajibika. You are not marrying her you are adopting her unresolved demons. Stay away from her.
5. Single mother aliebakwa.
Ni kweli huruma ni sifa ya binadamu, lakini usioe kwa sababu ya kumwonea huruma mwanamke. A traumatic past doesn't guarentee a peaceful future. Jiulize tayari majeraha yake moyoni yamepona au bado kila mwanaume anamwangalia kama potential rapist?.
Pia usisahau aliweza kuizuia iyo mimba tangu ikiwa changa lakini alichagua kuzaa, sio maamuzi mabaya lakini hii maana yake alichagua kuwa mama bila uwepo wa baba. Are you ready to fund a trauma you didn't cause? If not toka nduki.
6. Chaotic single mother.
Kuna wanawake ambao hawawezi kuishi bila drama. Ndoa/mahusiano yake na baba mtoo yalikua poa lakini kuna kitu anaona kinapungua, ni nini hicho kitu? ni drama na chaos. Chaos isn't situational, it's character. If she ran away from a fine marriage/relationship she will run again when you don't entertain her inner chaos.
7. Single mother feminist.
Huyu ni yule ambae anafikiri career au uwezo wa mwanamke kulipa bill ni replacement ya baba kwenye malezi ya mtoto. Huyu hataitambua nafasi yako kama mwaanaume, licha ya changamoto ya mtoto wake, vilevile kuoa aina hii ya single mother ni kutengeneza kizazi cha watoto wa kike wasiokua na maadili na watoto wa kiume mashoga au legelege.
7. Single mother aliehitaji mtoto.
Umri unaenda na hakuna dalili za kuolewa au circle ya mashoga zake wote wana watoto kasoro yeye tu. Akaona azae tu alee mtoto wake. Akupata mimba kwa kudanganywa, alipata kwa kupanga. Alitaka mtoto bila mwanaume/baba mtoto, sasa anatarajia wewe uingie kwenye maisha yake na kuwa baba wa mtoto wake.
Sikiliza kijana mwenzangu. Kama haukua kwenye vision yake tangu mwanzo basi wewe ni plan B.
Ukimuoa uyo mwanamke, haujengi familia isipokua unaingia kwenye ushindani na mtoto wake uliemkuta nae. You will always come second.
ZINGATIO: Mwanaume kuoa tu ni risk, ila ukioa single mother iyo risk inajizidisha mara 10. Ukiamua kuwa baba wa kambo ni uamuzi wako lakini usije ukasema hatukukuambia.
Oa kwa umakini, kwa sababu baada ya sherehe na shamrashamra za ndoa kuisha kitakachobaki ni ule mkataba wa ndoa ambao unalinda masilahi ya mwanamke, na hautambui wala kujali chochote kuhusu mwanaume.
Don't be a simp.
Mapito yanabadilisha mtazamo wa mtu. Single mother anaishi na majeraha moyoni kwaiyo hawezi kuwa na innocence kwenye akili yake. Risk ya ku-settle na single mother ni kubwa zaidi.Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke alizaliwa akiwa single Mather hivyo hizo tabia zote ulizotaja wanazo tangu wakiwa hawana watoto hivyo jua hata ukioa asie na mtoto anaweza kukuacha kama hao single mother walivyoachika walipokuwa, hivyo hiyo si sababu, na Wala hakuna sifa utataja ya kudumu na Mwanamke Wala Mwanamke kudumu na mume Bali kifo ndo kitaonyesha mmedumu, bila kujali ni single Mather au hapana, wewe ni muoga, Simba hujaribu bahati yake huku akijilinda asidhurike, Oa Mwanamke na jilinde asikudhuru, Olewa na mwanaume na jilinde asikudhuru, Imeisha hiyo.
Wewe ni dogo hata ukibisha ila ukweli ni kuwa wewe ni dogo.Mimi sio dogo, kwani ukimkubali wewe ndo nimkubali mimi? Acha ushamba na ujuha Nan kakuambia nyumbani kunapikwa kama hauna kihoro?
Wasema wewe....Wewe ni dogo hata ukibisha ila ukweli ni kuwa wewe ni dogo.
Unambishia nani hapa wakati wewe ni under 30?
Bado una safari ndefu mbele halafu unabishana na wanaume hapa?
Unataka uletewe kijora hapo ndio ujue kuwa tayari ushaanza kuondoka kwenye misingi ya kiume?
Unasema umelelewa na wazazi wote wakati kauli zako zinaonyesha dhahiri shayiri kuwa wewe ni Single mother product au ni single mother hapo ulipo?.
Hata tulivyo fanana haihitaji DNAfind your father Acha kulia
Kumbe ndo huwa mnafanyaga?Dada ni wewe unaingia period, kabadilishe pad urudi jukwaani,
Na kiswahili chako Cha kimakonde,
Upuuzi mtupu, good morningKumbe ndo huwa mnafanyaga?
sijagundua kama nina kiswahili cha kimakonde kwa kuwa wewe umegundua 9/10 wewe ndiye!
Mwamba ngoja nikueleweshe kidogo katika angle ya kuielewa dhima ya hizi hoja,Wasema wewe....
Mm nachosemea ni kuwabeza single Maza.... Sasa kwahiyo kuwabeza ndo masculinity?
Labda unifundishe,
Sisi ni wanaume
Morning Sir!Upuuzi mtupu, good morning
Morning, nipe somoMorning Sir!
Hapo nimekuelewa vzr aseeh,Mwamba ngoja nikueleweshe kidogo katika angle ya kuielewa dhima ya hizi hoja,
Wewe unaelewa kama wanabezwa ila uhalisia sio kwamba wanabezwa.
Ni vijana wanaonyeshwa hali halisi ili pindi waingiapo katika mchakato wa kuishi na hawa watu wawe wanajua situation nzima iliyopo na itakayotokea katika maisha yao huko mbeleni.
So wasione kama ni suprise tena.
Hivyo waishi wakiwa wako tayari wamejiandaa kisaikolojia juu ya yajayo.
Nikupe mfano hai mimi nilioa single mother tukaishi miaka kumi tukaachana.
Nilivumilia mengi sana kama ambavyo yeye alivumilia kwangu.
But niliyoyavumilia ni hayo unayoyaona juu hapo kwenye mada.
Na hata sasa nipo na single maza mwingine.
But yule wa kwanza alinifundisha ni burtton gani sahihi ya kubonyeza napoishi na single maza au hata Kahaba yeyote.
Acha kulia sasa, baba yako kakukataa tuliaHata tulivyo fanana haihitaji DNA
Labda wewe uliyepatikana kupitia kubakwa
Good afternoonAcha kulia sasa, baba yako kakukataa tulia
Nimekupata sana vyema Mkuu ,, mwanaume mzima kuowa mwanamke mwenye mtoto hapana kabisa ..Preach bro, preach bro
Make Men Great Again
By the way tuwakumbushe pia kuwa kuoa single mom ni fedheha sana maana unaanza kulea bao la mwanaume mwenzako
Sir God anataka mwanaume aanzishe familia yake na sio ajiunge kwenye familia iliyoanzishwa na mwanaume mwenzake
Imagine Sir God mwenyewe alimchagua Maria awe mama ya Yesu mwanamke ambaye alikuwa bikira na hakuwa single mom
Hata mama aliyemlea kijana wake akiwa single mom ni ngumu sana kumuunga mkono kijana wake amuoe single mom mwenzake
Imagine siku unaenda kwa wazazi wako na watoto wa single mom halafu unawaambia hawa ndiyo babu na bibi yenu lazima wazazi wako wakuone zezeta
Inatia kinyaa sana kuoa aina hizi tatu za wanawake:
Single mom Asiye bikira Aliyejichubua
Nothing.Morning, nipe somo
OkNothing.