Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,139
- 33,554
- Thread starter
- #101
😀😀😀😀😀Tuwe tunawaoa isivyo rasmi yaani Kwa mdomo huku tukiwapa matumizi madogo madogo!!
Kuna wengine so caring aiseh halafu wasafi III hawanuki mikojo!!
Single ma'am's ukimsalilimia halafu ukasema "mwanangu hajambo!!?hasta kama sio wako aiseh umemaliza kazi hapo!ni location tu kwakweli huku kyerwa Rwenkorongo!!!