BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Tafadhari aiseeUsijeniomba assist tu
Hakuna kitu kama ichoUzuri wa mwanamke ni Tabia tu basi, hizi nyingene ni mbwembwe tu kama kachumbari juu ya chakula.
Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Itapendeza sana.labda chura wangu atakua amekua mkubwa
Iv unaujua ufahari wa kutembea mtaani na demu mwenye chura?Na nyie wapenda vishudu sikuhizi kuna vishudu feki...... Unakionea kwenye nguo... Nguo ikitoka na kishudu kinapotea...... "Sasa sijui mtakuja na kigezo gani tena". Nawaza kwa masikitiko.
As long as ushaongea na hasikilizi, omba msaada wa wazee wenu waongee nae juu ya mwenendo unaotilia shaka ustawi wa family. Itasaidia zaidi kuliko kuanzisha mtiti usio na maana! Works way better.What if maamuzi yake yataitumbukiza familia shimoni?
Pinga kwa hoja.Hakuna kitu kama icho
B. WAPENDA USAWA
Aina inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50
CREDITS TO: Lukemusicfactory and Dodoma Clan
Wewe umesema ukweli rubii. Ningeweza kuwashauri wanaume kuwa kabla hawajaanza kutafuta mke wanayemtaka waanze kujitafuta kwanza wao wenyewe. A woman is like raw material inategemea utakavyomuweka.Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Eee baba. Kitu kikubwa, et'eeh! Siyo mtu unakuwa na kitu halafu hakijai hata kiganjani! Teh teh teh.I like them like that.
Nyinyi wa kibiti misimamo yenu hatareeena wakishakuona una misimamo wanaanza kukupakazia ohh umebadirika hukuwa hiv(hapa huwa wanasingiziwa sana sana marafki zako) blah blah kibaoo!

Wanandoa hupaswa kusaidiana kwenye kila linalowakabili.....lakini wadada msisahau kuwa wanaume ndo nguzo za familiaWanataka kila wanachosema uitikie ndio mzee,mfano hata hapa jukwaa kauli zao tunaziona
Eee baba. Kitu kikubwa, et'eeh! Siyo mtu unakuwa na kitu halafu hakijai hata kiganjani! Teh teh teh.
Huyo atakuwa bushoke pati tuuSure, mwanaume by nature yuko juu, na ndio anapenda iwe hivyo. Ndio maana hata pamoja na juhudi za kuhangaika na haki sawa bado haijaweza kufanikiwa maana we'll be fighting nature.
Ngumu mnoo kumwambia mwanaume eti "leo zamu yako kuosha vyombo, au wahi nyumbani ukapike, uogeshe na watoto mie nitachelewa kurudi leo"!!! Hiyo bado sanaaa, sijui ni mwanaume gani atakuelewa kwakweli.
Jaza ujazweWahenga walisema:
"Ukitaka kula sharti uliwe"
Anaekubali 50/50 ni Mume bwege+Ukichunguza ni kweli kabisa hata wanawake walio wengi hawapendi mwanaume wa "ndio/sawa mama". Sijui ni nature au ndivyo tulivyoaminishwa na jamii zetu. Mwanaume lazima awe juu, ndio maana wanaume wanaoapply 50/50 mara nyingi huwa wanadharaulika(sio na mkewe tu bali hata jamii inayomzunguka). Ni wanawake wachache na wanaume wachache wanaoweza kukubaliana na hilo.
Unatafutwa kwa kosa la kumwacha yule mzee wako wa hapa JF!Wewe wangu tu!!
Hahaaa Rubii,Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,