Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Uzuri wa mwanamke ni Tabia tu basi, hizi nyingene ni mbwembwe tu kama kachumbari juu ya chakula.
 
Wanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?

Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.

Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.

Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.

Naunga mkono hoja!!!
Kuwa na msimamo kwao ni ukaidi na ujeuri
 
kwenye kupenda usawa hapo
hakuna mwanaume anapenda mwanamke atakae taka wagawane majukumu maana hiyo 50 50 ndio ile ukiwahi nyumbani unapika
ukichelewa amka unatandika
nguo osha zako

wapo sana tu mkuu mie nimshuhudia famiia moja mke anapika mume anafua!sema wewe kwako hali ni tofauti(na lazima unatokea kanda zileeeee)mshindwe
 
Wanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?

Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.

Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.

Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.

heshima yako mkuu AL-WATAN!
 
Back
Top Bottom