Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
- Thread starter
- #361
funguka zaidi mkuuhaya uliza kijana wangu ufafanuliwe maana sio kwa kutoa macho huko
funguka zaidi mkuuhaya uliza kijana wangu ufafanuliwe maana sio kwa kutoa macho huko
nisamehe bure Dada ila tuko pamojaUnamsahau mpk dada yko
uje na huku sasa WANAWAKE: AINA 5 ZA WANAUME WA KUWAEPUKA KWENYE MAHUSIANO.Unamsahau mpk dada yko
Mkuu,nimegundua alianzisha hii thread si brother ni sisterAcha kupotosha kina dada, ukwel wanaume hatupendi swala la usawa yaani 50 kwa 50 kwani ni kinyume hata na maagizo ya MUNGU... Mwanaume ana mamlaka makubwa zaidi kuliko m/mke na wanawake wanapenda mwanaume kiongozi wa familia sio bwabwa wa kutaka wagawane majukumu ya BABA(m/me) kuwa ya wote... take care brother.
Yani nimetokea kuchekaa mnoo aisee mzee babaj. kuwapata hao mzee baba sio rahisi kiukweli yani kama makinikia mzee baba
Kkila mwanadada ana chura au mpk awe chura wa snura??Iwapo hana chura hizo sifa zote zitakua buree tu!
Hahahaaa leo kuna vituko humu hahaha so usawa kwa mwanamke wa kitz ni dhoruba na kiburi ndani ya nyumba let us be as old daysWanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?
Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.
Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.
Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.
Hahahaha hatariiiWanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kalio na tako mkuuKkila mwanadada ana chura au mpk awe chura wa snura??
Haswaa, huo ndio msimamo unaotakiwa mzee baba. Mwanamke mwenye committment kwa lugha ya kigeni, aweze kutunza heshima ya mumewe sio akiwa alone anacheat kipuuzi au anadanganyika kizembe!Wanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?
Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.
Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.
Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.
Apo naona mtoa mada alikula mueleka kidogo, mie mwanamke nataka afanye yaleyale ambayo mama alimfanyia baba hapo ndio ntaridhika. Na huo ndio usawa naoutakakwenye kupenda usawa hapo
hakuna mwanaume anapenda mwanamke atakae taka wagawane majukumu maana hiyo 50 50 ndio ile ukiwahi nyumbani unapika
ukichelewa amka unatandika
nguo osha zako