Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Naam vilaza wasiojua haki zao, ambao ni rahisi kuburuzwa. Ni mama wa nyumbani hana ajira anaogopa akiachwa ataishi vipi wakati hana kipato.
Kweli kabisa BAK.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie huwa nashangaa sana kumkuta mtu ana Phd anataka kwenda kuoa darasa la saba.
Unaweza sema labda lengo lao ni kupata walinzi mana anajua 24/7 atakuwa nyumbani na hana pa kwenda mana hai ingii akilini. Na pia anajua hatakuwa na ubavu wa kumuhoji chochote na anajua mke wake zake zitakuwa ni ndio tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa aisee, na ndoa za hivi huwa hakuna majadiliano ya mke na mume kwa faida ya familia ni orders tu mbele kwa mbele hata kama hizo orders hazina tija kwa familia husika.

Ila baadhi ya wanaume mungu anawaona aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hili lipo pande zote Emmyta, wanawake wengine nao ni pasua kichwa.
Sawa hivyo ikiwa baadhi yetu ni pasua kichwa kilicho bora ni kutunyima haki ya kuzungumza ndani ya nyumba.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo mimi la kuwa dikteta ndani ya ndoa mimi siliungi mkono lakini kuna visa humu vya waliomo kwenye ndoa wake na waume mpaka vinakuacha mdomo wazi.

Haya bana. [emoji2] [emoji2]

Ila inabidi kuvizowea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
H. MARIDADI(Warembo)
Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafi na kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa mwonekano.
 
B , WAPENDA USAWA
Mimi naona nishashindwaga hapo sinaga equality , freedom /( no democracy in love relationship )
 
hahahahahaha eti uoga wa BAK tu, si muoga miye 🙂🙂🙂 ila mengine yanayoandikwa humu yananishangaza sana na haya ni kiduchu tu. Ila wapo ambao wametulizana kama maji ya mtungini.

Hahaaa. Uoga wako tu [emoji124] [emoji124]
 
hahahahahaha eti uoga wa BAK tu, si muoga miye 🙂🙂🙂 ila mengine yanayoandikwa humu yananishangaza sana na haya ni kiduchu tu. Ila wapo ambao wametulizana kama maji ya mtungini.
Basi punguza kushangaa na weye. [emoji12] Mana wenyewe wanasema dunia ni uwanja wa fujo kila mwenye ngoma yake na acheze.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sawa nimekusikia ngoja BAK aanze kuicheza ngoma yake. 😛😛😛

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sio kwa kunichekesha na kunikumbusha mbali hivyo. Lol.

Haya wacha nami nije tucheze wote ngoma yako. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu sana Emmyta, lakini kwanza niambie nimekukumbusha wapi? Mtaa wa saba au Masiwani?

Back
Top Bottom