Hakuna post, nauliza tu.
Kwa maana nyingine, where do you draw the line between a man being overly weak on the one hand, being rightfully assertive in the middle and being out and out abusive on the far hand?
Mwanamme mwingine akisikia unasema yeye awe juu anaona ndiyo umempa leseni ya kuwa abusive.
Akirudi tu "We mwanamkeee, ukowapi, maji ya kuoga ushanichemshia? Mwanamme nimetoka kazini usifanye kulala lala hapa lazima ufanye kama mwanamke anavyotakiwa".
Na unatakiwa ujibu "Hewalla bwana sayyid yangu kipenzi"
Hapo vipi?