Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Hawakawii kusema tunajifanya vichwa vya familia kumbe saa nyingine hatutaki kuburuzwa pasi kuwa na sababu za msingi
Haki zibaki katika mambo ya msingi mfano, kujiendeleza kielimu, uhuru wa kutoa mawazo yako, kuhusiana na marafiki na zenye kufanana na hayo. Ila usawa hauwezi kuwa katika kila jambo. Hatuwezi kuwa sawa katika majukumu yote. Hata jinsi tunavyoingia kwenye mahusiano mpaka kwenye ndoa kuna utofauti mkubwa
 
Ninavyoisoma zaidi, imeandikwa kama kejeli.

Hata Wamarekani hawajafikia huku.

Huu ni usanii.

Ukiona imeandikwa "wanaume wanapenda wanawake wanaopenda usawa", soma "wanaume hawapendi wanawake wanaopenda usawa".

Hapo kikwetu utaelewa.

Ndiyo maana ninayoweza kuiona.

Exceptions ni C,G,H,I na J
Sure, mwanaume by nature yuko juu, na ndio anapenda iwe hivyo. Ndio maana hata pamoja na juhudi za kuhangaika na haki sawa bado haijaweza kufanikiwa maana we'll be fighting nature.

Ngumu mnoo kumwambia mwanaume eti "leo zamu yako kuosha vyombo, au wahi nyumbani ukapike, uogeshe na watoto mie nitachelewa kurudi leo"!!! Hiyo bado sanaaa, sijui ni mwanaume gani atakuelewa kwakweli.
 
Ukitak kugawan majukumu 50 kw 50 nawe uwe tayar kuzaa kw uchungu...msigeuze maandiko. Mwanaume atakula kw jasho Mwanamke atazaa kw uchungu.kusaidiana kupo lkn sio umwangushie mwenzi wko 50 ...ptuuuh! Mbn na jikon utaingia nanguo utafua. Sio kw kizazi hiki bro utalizwa.
 
Back
Top Bottom