Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Joseverest, kumbe kinyozi hajinyoi nikajua utakua first to reply wewe mwenyewe kwenye thread yk
[emoji23][emoji23][emoji23]haiwezekani...sasa nijireply mwenyewe?
 
Huwa wanataka wale wanyonge wasio jua na kuogopa kukosoa eti kisa wataonekana hawana heshima kwa waume wao.
Sio unyonge, ni kuwa submissive tu...
Sasa we kila kitu unapinga tu, tutasogea kweli kwa dizaini hio???
 
Hayo yalikuwa zamani ila kwa sasa penye kukosoana ni lazima mana mwisho wa siku mnaweza kupotea na hakuna wa kumrudisha mwenzie kwenye mstari kutokana na uoga.
Toa suggestion then acha mwanaume afanye maamuzi sio ulazimishie lako ndio lifanyike. inaboa, A man has to lead usimpangie jinsi ya kuongoza!
 
mie wa kwangu kajaza minamba ya simu Tanzania nzima kwenye iphone yake nabaki kumwangalia tu kila sifa hapo juu haina maana kwangu
 
Naam vilaza wasiojua haki zao, ambao ni rahisi kuburuzwa. Ni mama wa nyumbani hana ajira anaogopa akiachwa ataishi vipi wakati hana kipato.

Huwa wanataka wale wanyonge wasio jua na kuogopa kukosoa eti kisa wataonekana hawana heshima kwa waume wao.
 
Embu tanganza nionee


Jamani wana MMU wa JF, familia ya akina [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG] inatangaza kwa wote humu MMU kuwa Leo kutakuwa na sherehe fupi ya kutambulishwa kwa mke wa [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG] ambaye ni miss [HASHTAG]#rubiii[/HASHTAG]. Wote mnakaribishwa. Eneo ni pale site.

Kiingilio ni bure , vyakula na vinywaji +usafiri upo kwa wote .

[HASHTAG]#Poise[/HASHTAG] & [HASHTAG]#rubii[/HASHTAG] for love, life, wealth and always together.

🙂😀😀
 
Back
Top Bottom