Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Hiyo B peleka kwa akina trump!!
Hata Mungu alimuumba Adam kwanza ndio akamuumba hawa!!!
Hata Mungu alimuumba Adam kwanza ndio akamuumba hawa!!!
Hapana wanaume Wa tanzania hawapendi usawa,wanapenda mwanamke kilaza
Hapana wanaume Wa tanzania hawapendi usawa,wanapenda mwanamke kilaza
Asante asante Mrs. Air.heshima yako mkuu AL-WATAN!
UlizaaBwahahahaha nikulize kitu,.. !?
Utajua tu, Kama navokuona sa ivi,wew ni kababe na kajuaji,..
Sana hawachelewi kukuita mjuajina wakishakuona una misimamo wanaanza kukupakazia ohh umebadirika hukuwa hiv(hapa huwa wanasingiziwa sana sana marafki zako) blah blah kibaoo!
Hapana wanaume Wa tanzania hawapendi usawa,wanapenda mwanamke kilaza
Mimi na wewe anayeleta ubabe nani sasa?
Nimeuliza nikimaanisha nahitaji kufahamishwa ndio ujuaji?
Ulizaa
Kwanini hukose chura wakati mchina anaziuza kariakooWanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Mapenz,kusaidiana,kushauliana kuhusu maisha.nkKwa mwanamme unataka nin ,I mean kwa nn unakua na boyfriend ,..?
Kwanini hukose chura wakati mchina anaziuza kariakoo
Hawakawii kusema tunajifanya vichwa vya familia kumbe saa nyingine hatutaki kuburuzwa pasi kuwa na sababu za msingiHapana wanaume Wa tanzania hawapendi usawa,wanapenda mwanamke kilaza
Huwa wanataka wale wanyonge wasio jua na kuogopa kukosoa eti kisa wataonekana hawana heshima kwa waume wao.na wakishakuona una misimamo wanaanza kukupakazia ohh umebadirika hukuwa hiv(hapa huwa wanasingiziwa sana sana marafki zako) blah blah kibaoo!
Wanataka kila wanachosema uitikie ndio mzee,mfano hata hapa jukwaa kauli zao tunazionaHawakawii kusema tunajifanya vichwa vya familia kumbe saa nyingine hatutaki kuburuzwa buruza.






