Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!
Kwa hiyo? Uchumia tumbo huu
 
wameshanikera sana!! mara waraka huu!! mara huu!!njia ya mwongo ni fupi!! tutaufahamu tu ukweli!!
 
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!

Unasema kweli au unatania? Achs masihara bhana.

Mods hebu tuthibitishieni bana anachokisema huyu mtu.

Ni kweli Tundu Lissu amesema hivyo?

Zitto ataiweka busy sana CHADEMA in so many days to come kuliko wanavyodhani. Hatoki mtu hapa, ikibidi itabid CHADEMA ikathibitishe tuhuma hizo 11 mahakamani.

Hiki ni chama cha Demokrasia bhana, udikteta hauna nafasi.
 
Kwa ulivyo mmjinga kamwe huwezi kumuelewa lissu labda kaongeze elimu kidogo. F.u
 
CDM wanatafuta sabab ya kushindwa 2015!

CCM tunataka tuwapige mweleka wakiwa wametimia..
 
HayA wewe unae ujua ukweli tuambie mkuu......ukishindwa kuusema huo ukweli bas ntakupuuza
 
Tindu Lissu kanasa tayari kwenye mtego wa mbowe na Dr slaa,sijui wamemkatia ngapi?

Hata kale ka dogo ka Ubungo, kanacheza midundo ya Mbowe bila kujua madhara ya baadae! Ngoja kapigwe chini ubungo tukakute mitaani, kataomba mpaka buku!
 
Akizungumza na waandishi wa habari leo kamanda makini Mnyampaa Tundu Lissu na Mnyika wanasema waraka uliosambazwa kwny mitandao na magazeti unaomuhusu Zitto na kina baba Masalia waraka sio wenyewe,ni waraka mchina na una lengo la kupotosha.Waraka wenyewe una mambo ''matamu'' yasiyovumilika. Sosi ni ITV
 
Unasema kweli au unatania? Achs masihara bhana.

Mods hebu tuthibitishieni bana anachokisema huyu mtu.

Ni kweli Tundu Lissu amesema hivyo?

Zitto ataiweka busy sana CHADEMA in so many days to come kuliko wanavyodhani. Hatoki mtu hapa, ikibidi itabid CHADEMA ikathibitishe tuhuma hizo 11 mahakamani.

Hiki ni chama cha Demokrasia bhana, udikteta hauna nafasi.

mkuu nikweli wamesema waraka uliopo hapa jf na ule uliosomwa na mkumbo kwa wanahabari ni feki.wao watauleta ikibidi watafanya hivyo.
 
wameshanikera sana!! mara waraka huu!! mara huu!!njia ya mwongo ni fupi!! tutaufahamu tu ukweli!!
Huwezi kuufahamu ukweli kama akili yako ipo ki CCM'sababu CCM na wafuasi wake ni kama mazuzu fulani.
 
Huo orijinali ndo uko wapi? Yule padri anataka kutuvurugia chama. Mzee ana roho ya chuki,inda na majivuno. Nitampgia kura diwani na mbunge wa chadema ila kama huyo mnafiki atateuliwa na chama sitompgia kura. Ana roho mbaya kama alshabab
 
Tuhuma (zenye ushahidi beyond reasonble doubts) dhidi ya Zitto ni nyingi. Ana makosa mengi ila hata kwa hayo machache bado hawezi pona. Amini usiamini lakini kama wakiyaanika yote si Zitto wala wapambe wake watathubutu kuonesha nyuso zao popote walipo waungwana.

CHADEMA haimini katika character assassinations na ndio maana wamekuwa wavumilivu na ku-exercise massive constraints ktk hili na mengine mengi tu.

Zitto na washirika wake wanapanga kuendesha kampeni chafu za propaganda kwa staili ile ile ya PM-7 aka Masalia. So tutaona mengi na kusikia mengi ktk hizi sarakasi lakini vumbi likitulia he will be down and out!
 
Back
Top Bottom