chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Vituko juu ya vituko.
Vituko vipi ndibalema
Vituko juu ya vituko.
Mfukuzeni haraka basi! Mnangojea nini? C'mon!
Kwa jinsi Zitto anavyovichezea vibichwa vya mbowe na slaa inatosha kabisa.
Zitto mwenyewe hata Kigoma aliikataa chadema aliuza majimbo kwa NCCR huyo si mshirika wa chadema aende vyema peponi CCMWakimfukuza zitto chadema itabaki machame na tengeru pekee
Chadema imekufa
hawana uwezo wa kumfukuza badala yake wenyewe ndo wataondoka
Yeah! R.I.P saccos ya chagadema!
Chadema wamepoteza mwelekeo.
Zitto mwenyewe hata Kigoma aliikataa chadema aliuza majimbo kwa NCCR huyo si mshirika wa chadema aende vyema peponi CCM
Wakimfukuza zitto chadema itabaki machame na tengeru pekee
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!
Yeah! R.I.P saccos ya chagadema!
Mungu atalitikiasa jiwe mpaka maji mazuri ndiyo yabaki kwa ajili ya matumizi,asilimia tisa (9) ndo wataleta ukombozi,masalia watachujwa wote
Mi nasubiri kwa hamu nisikie jinsi ambavyo yule dogo wa ubungo aliokataa shule atakavyolishwa maneno ya kutamka kwamba Zito amefukuzwa halafu muone!