Aibu airport

Aibu airport

Polisi umeni-disappoint leo mkuu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Umenena kweli tupu kaka; kimsingi na kwa ukweli usiopingika hapa hatuna international airpot bali ni local airpot. Kwa wale waliopata nafasi za kusafiri nchi za nje na kuona viwanja vya ndege na miundo mbinu ndani ya viwanja hivyo watakubaliana nami kuwa bado tuna safari ndefu sana ya kufikia viwango vya kimataifa. Ukifika tu hapo Jomo Kenyata International Airport kweli unakubali kuwa ni International Airport. Hapa home tunadanganyana tu na kuona kuwa tuna kila kitu tunachohitaji lakini hakuna lolote. Ukienda kwa wenzetu na kuona viwanja vyao na kulinganisha na vya kwetu hapa ni aibu sana.

Kwa wadau na wote wanaohusika ktk nyanja hizi hebu fanyeni marekebisho walau ya mambo madogo kama haya ili kuondoa aibu; inasikitisha sana


JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
 
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?

Mkuu, usitetee ubovu. Hivyo vyoo tumevilalamikia mara kadhaa na taarifa tumewafikishia wahusika pale airport lakini hawachukui hatua
 
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?

Inashangaza tunafanyia mzaha vitu very serious. Abiria tunaotumia ndege tunalipa mihela mingi sana ikiwa mojawapo ya service ni kupata mahala stahiki na pa staha pa kujisitiri. Kama Airport inashindwa kuvifanyia vyoo maintenance inabidi watupe maelezo ya kutosha na hao wahusika kwenye vitengo husika inabidi wajibu maswali yetu. Hatuendi airport kutalii bali kusafiri na zile structure ni kwa ajili ya kumrahisishia abiria maisha akiwa anasubiri usafiri.
 
umenikumbusha enzi za marehemu michael jakson alishika pua si chooni nyumba nzima jengo linanuka ni tofauti kabisa na viwanja vingine duniani
 
Mbona mimi huwa naenda vyooni hapo JKNI nakuta viko fresh tu kila kitu available, toilet papers, flashing, water mpaka mafuta ya kupaka yapo na kioo cha kujiangalia...acha hizo.
 
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?

Nchi yenye mambo ya kipumbavu, mara zote ni zao la raia wenye mawazo ya kipumbavu.... na siku zote hutetea upumbavu na uzembe!
 
Swala sio uandishi cha msingi nilichotaka kukiwakilisha kimeeleweka
 
Naunga mkono hoja! Hakuna vyoo vichafu kama Nyerere International Airport!
 
Ni kweli kabisa airport yetu ni zaidi ya aibu but who cares!!!! Kila mtu yuko kimaslahi zaidi ni CCM chukua chako mapema! Wafanyakazi karibia wote ni wezi toka ngazi za juu mpaka wafagizi na wabeba mizigo kila mmoja anaangalia atapata nini kwenye nini poor Tanzania nchi ya kitu Kidogo
 
Mimi kuna siku nilishajiuliza hivi Mkojo wa mtu mweusi na Mzungu unatofauti katika harufu, manake kila nikiingia choo katika nchi za wenzetu hakuna harufu mbaya kama kwetu kumbe issue ni usafi tu. Jamani kuna vyoo vinanuka Tanzania mpaka mwanaume kwenda haja ndogo mpaka umalize unajisikia kufakufa. Shame on us.
 
Naomba upige picha choo chako ka mfano ili tujue unachoongelea.
 
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?

Duh yaani jamaa ndio upeo wake wa kufikiri umeishia hapa na kachanganya na lugha ya kigeni kidogo kasema "after all" kuonyesha msisitizo wa point yake duh Tz kazi tunayo viongozi ndio kina Dungai na wananchi ndio hawa!
 
Airport ipi Mkuu?KIA au JNIA?Ninachojua JNIA vyoo vyake ni visafi
 
Watanzania wengi wanawaza kama wewe.ukipewa kazi fanyakazi kwa ufanisi mkubwa.of all the places toilets zinatakiwa kuwa safi kila wakati mwaka mzima.unajua watu wengi wanapewa kazi sehemu nyeti bila kujua uwezo wao.Aibu gani tunapata kwa wageni kutoka Nchi za wenzetu.

Usichukulie vitu kirahisi rahisi. Huyo mleta mada anaongelea JNIA maana ameweka picha yake. Mimi natumia uwanja huo twice a month na sijawahi kuona hicho kinachoongelewa. Kama ilitokea basi lilikuwa ni tatizo la siku moja. Mnataka wawawekee na sambusa chooni?
 
Usichukulie vitu kirahisi rahisi. Huyo mleta mada anaongelea JNIA maana ameweka picha yake. Mimi natumia uwanja huo twice a month na sijawahi kuona hicho kinachoongelewa. Kama ilitokea basi lilikuwa ni tatizo la siku moja. Mnataka wawawekee na sambusa chooni?
Halafu ni bora angepiga picha huo uchafu kuliko kuongea bila ushahidi,JNIA kuna wafanya usafi ambao wapo uwanjani masaa 24 na wanafanya kazi yao.Inawezekana ilikuwa bahati mbaya but ni tofauti na huyo mleta mada alivyosema
 
Halafu ni bora angepiga picha huo uchafu kuliko kuongea bila ushahidi,JNIA kuna wafanya usafi ambao wapo uwanjani masaa 24 na wanafanya kazi yao.Inawezekana ilikuwa bahati mbaya but ni tofauti na huyo mleta mada alivyosema

Sawa kabisa. bora angeweka picha ya pale toilet jinsi ilivyokuwa siku hiyo badala ya kuweka picha hiyo ambayo haina uhusiano na mada husika. Halafu mijitu inakomalia utadhani imekalia msumari
 
airport Dubai bwana,mambo ya toilets wapo safi jamani,mara ya pili uwe unamaliza kabisa nyumbani,ni sawa na vyoo vya uwanja wa taifa jamani utatoa machozi,watanzania tupo wachafu kweli jamani
 
Matusi hayajengi wala hayatatui tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom