Nafikiri msisitizo uwe kwa wasafiri zaidi yaani ni waharibifu mno kuanzia matumizi ya karatasi choo na vifungo vya kuflash,abiria matata bwana mpaka watu wanachoka kufanya maintenance mara kwa mara!JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
kama matatizo ni ya wasafiri how about other airports???huko hakuna wasafiri???ni wabongo wazembe tuu kila kitu ni kulalamika na kuhamishia lawama kwa serikali na rais kumbe matatizo watu wenyewe hawafanyi kazi zao vizuri....it can be done play ur part...nafikiri msisitizo uwe kwa wasafiri zaidi yaani ni waharibifu mno kuanzia matumizi ya karatasi choo na vifungo vya kuflash,abiria matata bwana mpaka watu wanachoka kufanya maintenance mara kwa mara!
kama matatizo ni ya wasafiri how about other airports???huko hakuna wasafiri???ni wabongo wazembe tuu kila kitu ni kulalamika na kuhamishia lawama kwa serikali na rais kumbe matatizo watu wenyewe hawafanyi kazi zao vizuri....it can be done play ur part...
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU

Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?