life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
Shukraani nyingi Mkuu, Walau mwenzetu umekuwa na moyo wakusema haki na UKWELI, Malipo mema kwako.
Jameenii tuwe na moyo na jukumuu la kuwajibika katika kazi zetu. Kwa nini hatupendi kuambiwa au kuonyeshwa makosa yetu au upungufu wa kazi tuzifanyazo? Samahani kusema waTanzania wengi "Baadhi yetu ni wazembe na wafujaji kazini"
Niweeniradhi hapo ndiyo tatizo kubwa. hakuna ufuatiliaji. tubadilike kiutendaji tutafika tu.