Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,931
Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe

Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana.


Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja na baada ya kufungwa Polisi iwakamate hao wafungwa waliotoroka. Je hii itawezekana?

PolisiTz wapo hoi taabani
 
Yuko sahihi na kwa utaratibu huu kesi zitachukua muda mfupi sana kuisha kwani zitakuwa za upande mmoja tu la msingi waache taarifa za uhakika na jinsi ya kuwapata kulingana na anwani zao.

WaTz mjiongeze jamani hajasema waachiwe tu kiholela bwana,vipi??
 
Back
Top Bottom