Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Juzi ulikuwa unamshangilia akiwa chadema leo kahama amekuwa taka tena kweli chadema siyo watu.
Watu ni wale wanaoteketeza tembo kila kukicha
Juzi ulikuwa unamshangilia akiwa chadema leo kahama amekuwa taka tena kweli chadema siyo watu.
Teh teh teh leo hii yamekua hayo zamani ulikuwa wapi kusema.Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!
Nawe unaongea wakati hujui unachoongea.Zito ni msaliti siku zote miaka ya nyuma alipokuwa rais wa Wanafunzi udsm kwenye ule mgomo alikuwa anavujisha siri na kuwapa serikali mpaka akapewa offa ya kusomeshwa Ujerumani na serikali.
Zito hafai
Teh Teh ...mfukuzeni kabla hajaondoka.
Ubaguzi wa chadema na ukabila utawatesa sana mwaka huu dhambi zenu mtalipa tu.
Mhh............Mkuu ni bora ukakaa kimya na kumtakia heri aendako.... Yupi amesafishika kirahisi? Yule aliyeisaliti ndoa yake DUBAI au yule aliyepelekwa mahakamani kwa kupora mke wa mtu?
Umekua Sheikh Yahya?Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.
Afande Sele hawezi kuwa msaliti, kwa kuwa hajawahi kupewa dhamana yoyote kubwa akiwa CHADEMA. Labda kuna utata kuhusu neno usaliti... Afande sele amekuwa msaliti?
Nilikuwa nikiitetea sana chadema lakini kufikia hapa nimeshindwa.Bora tuwaachie wachaga chama chao maana hawatutaki.
Teh teh teh ....
Wapinzani mnachekesha sana, leo Afande sele amekuwa msaliti?
Acha waende, bora kubaki na timu ndogo yenye nidhamu kuliko timu kubwa inayokupa hasara.