Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Seleman Msindi "Afande Sele" ajiunga rasmi na chama cha ACT-TANZANIA cha Zitto Kabwe.
Mkuu kumbe ulikuwepo. Nami nimetia timu. Bahati mbay sele alikuwa hajafika nikasikia Kitila akimpigi simu.
 
I am on my way to NOU CAMP...."!!

Nikirudi naondoka CDM...naenda ACT....alafu nikiona ACT sijapata kitu 3 months..naenda KAFU....nikiona KAFU mizegwe naenda CCM niliko zaliwa nifie huko...

Rahaaaa...!!!
 
Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!

Mkuu umenifurahisha sana, maana jamaa tulikuwa na kazi kubwa sana ya kumsafisha, na sio zile picha za uchi tu, hata zile alizokuwa na 20% walipokuwa kituo cha polisi wamekula kichapo, nazo zilikuwa hazisafishiki kabisa
 
Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!

Sanaaaaa......chama kinakuwa na taswira ya bunch of wahuni wahuni tu! Zilitutesa sana kwa kweli!

Hata hivyo hana ushawishi wowote ule...hawezi kuleta madhara yeyote yale!
 
Zito ni msaliti siku zote miaka ya nyuma alipokuwa rais wa Wanafunzi udsm kwenye ule mgomo alikuwa anavujisha siri na kuwapa serikali mpaka akapewa offa ya kusomeshwa Ujerumani na serikali.
Zito hafai
 
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?

Tulimvumilia tukitarajia ataongoka lakin wap sikio la kufa halisikii dawa!
 
Ccm wana mbinu nyingi xna yetu macho kwan tunaamin wapo tayar kwa namna yoyote ile kiakikisha chadema hakina nguvu ktk uchguz ujao, ila watambue xx tunahitaji chama makini na mtu mmja wa kutuyumbisha kwa maslay binafs.... viva CHADEMA.
 

Wakuu hawa ACT wanalipa shilingi ngapi kuchukua kadi ya chama chao?




 
Back
Top Bottom