Kweli hakuna umuhimu wa afande Sele kumjadili.Inaweza ukaja uzi hapa `Wema Sepetu ajiunga na ACT` nao ukaanza kuchangiwa kana kwamba ana madhara.Mkuu, Wewe umeongea, siioni influence ya Afande Sele kisiasa, labda kama alikua na kundi la watu uko Chadema linalom support kisiasa kama ZZK ama kama alikua mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema ndio hao CDM labda wangebidi wajiulize
Sasa ndiyo umejibu nini si bure utakuwa a muha weweKwaakili yako kila mwana-democrasia anataka madaraka? Hoja watu wanatafuta wapi kwenye demokrasia ya kweli, ambayo CDM imekosena.
Hata Ufipa ziko za kumwaga
ACT ndio kimbilio la wazalendo
Hata Yesu wengi walimfuata sio kwa sababu ya mapenzi na dini ya wayahudi bali walimfuata yeye kama yeye..same applies to Mtume Mahmood
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?
Kweli Zitto ameshindwa wa kumsindikiza, si alisema ataondoka na Arfi imekuaje?
Mkuu anaesubiliwa ACT ni yule aliepewa fedha na mashehe.Bado kuna wabunge 6 wa CHADEMA wanahamia leo ACT!
CHADEMA mtajuta kumjua Zitto!
jibu hoja acha vioja kwani nembo ya ACT ina alama ya msikiti.Kwa hiyo hii nayo ni hoja? Au we ni G.lema?
Mbona alama ya chama cha ACT ni nyota ni chama cha waislamu tuu,?
Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.
View attachment 236752
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?
Huo si ukabila kumfuata home boy