DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wapo wadada wa usafi wanasafisha kila siku asubuhi kwa sabuni na dawa za kuondoa harufu. Tatizo ni wanafunzi ndo wachafu mtu anaweza kukata gogo bafuni na kuacha vyoo. Kuna siku umeme ulikatika mtu akakata gogo kwenye sehemu ya kunawia mikono. Uchafu wa vyoo unasababishwa na wanafunzi wenyewe sio chuo wala shida ya maji
Kwa hio huyu anasema UONGO? Mboni mnapenda kutetea ujinga? Wenzako wanakwambia maji hakuna wewe unasema maji yapo?
Kama unaweza kufua na nguo chooni ina maana kuna maji.

Hata UDOM maji yakitoka hukuti choo kichafu,,na nguo huwa zinafuliwa chooni.

Yaani maji yakitoka tu hata wiki moja...hukuti uchafu chooni.
 
Wapo wadada wa usafi wanasafisha kila siku asubuhi kwa sabuni na dawa za kuondoa harufu. Tatizo ni wanafunzi ndo wachafu mtu anaweza kukata gogo bafuni na kuacha vyoo. Kuna siku umeme ulikatika mtu akakata gogo kwenye sehemu ya kunawia mikono. Uchafu wa vyoo unasababishwa na wanafunzi wenyewe sio chuo wala shida ya maji
mai god🙆‍♂️🤦‍♂️
 
Ndio muwaambie UONGOZI wa Chuo wavute maji Chooni, kwani hawana akili au Chuo kinaongozwa na Mazuzu?

Namaanisha wavute maji ya kwenye visima sio ya Dawasco, si kuna visima vya maji wavute hayo maji yatumike vyooni

Mahafari yanafanyika kila Mwaka Ina maana anapokuja mgeni rasmi kero hii haisemwi wanafunzi na uongozi wa Chuo wameridhika tu?

Kuna Serekali ya wanafunzi Rais wa wanafunzi yupo yupo tu anavuta mshahara wake anapita kushoto hawasemei kwa UONGOZI wa Chuo kua wanafunzi wenzake wana vyoo vichafu wanaishi mazingira magumu?
Mtalalamika na maji bado hayatoki.

Plumbing system mbovu hazipandishi maji kwenye mabomba ya hostel.

Haya sasa
Wewe ndo mwanafunzi unasoma UDOM muda huo,,, Utafanyaje??


Maji hawajaweka, Utafanyaje?
Utajiharishia bila kwenda na maji chooni?
Utaenda darasani bila kuoga?
Utaenda na wewe kuweka kinyesi kwenye choo ambacho tayari kina kinyesi?
 
Kwa hio huyu anasema UONGO? Mboni mnapenda kutetea ujinga? Wenzako wanakwambia maji hakuna wewe unasema maji yapo?
Hayo maji kama yamewekwa basi ni miaka hii 2021 na kuendelea
Almost all colleges maji yanasumbua

Ukiingia Hostels za kike utaona madiaba, ndoo na madumu ya maji yamejaa,pamoja na kamba za kuvutia maji.
Hostel za kiume wanaishi kibabe ndo hizo ukipita koridoni utasikia harufu za vinyesi na mikojo.
 
wana UDOM mnaitwaa huku kuna jambo lenu.
Nimecheka had tumbo linauma, woiiiiiih
 
Hapo tatizo ni nyie watumiaji kama hamjiheshimu ,mnakunya kunya ovyo juu ya masink,unajisaidia humwagi maji/flash Mwanachuo analewa anatapikia chooni hasafishi

Unategemea nani aje akufanyie usafi ? Yaani jitu zima linatua Mzigo wake alafu unategemea Dada wa Usafi aje azoe,umelogwa au?hakuna kazi ngumu kama kusafisha Mzigo wa Mtu Mzima,ni shidaa

Baadhi ya wanavyuo chuoni ni wachafu sana,hawana ustaarabu
 
Pale udsm watu walikua wanakunya ovyo yaani mimavi mavi chooni mikojo ime trend KILA sehemu
 
Mnauonea uongozi bure
Shida ni wanafunzi wenyewe wachafu.

Dada wa usafi anamaliza kufanya usafi,mtu anaenda tua mzigo wake pale..utadhani mtoto mchanga asiyejitambua.
Watu wanatupa uchafu hovyo, kwanini vyoo visizibe??

Kama kila mtu angetunza hivyo vyoo Kwa kuzingatia usafi
Kila mmoja angeenda chooni na maji ya kutosha , ile hali isingekuwepo .


Wanafunzi acheni uchafu.
Matatizo mengine yanatatulika na wanafunzi wenyewe.

Maji kutokutoka bombani bado si kigezo Cha mtu kutua mzigo wake na kuuacha..
Kavute maji kisimani
Kama huwezi basi katumie vyoo vya madarasani umalize mambo yako huko,, mara nyingi huwa na maji.
Nilikua natafuta comment yakoo,
 
Unachoongea sio masihara,nilienda Kondoa Mmang'ati katoka chooni naingia nakuta zigo hinhaa...we nkapiga kelele ,mwenye gesti alikua karibu akaja fastaaaa....akaniambia "shhhhhhhhh Hawa hawajui vyoo vya sink kaa kimya nshawazoea Hawa wateja Wangu wa maporini Huko"akanielekeza choo kingine kile akaenda safisha mwenyewe
Ni mfano ila mmekuelewa na uko sahihi
 
Nikakanyage Ili nigundue nakuuliza,maphilosopher wote kina Aristotle,Plato, Socrates, Immanuel Kant ,Karl Max walishafanya Yao,Sasa Habiba mie wa watu nitagundua lipi jipya?ni kama we mwenzangu Umegundua Nini huko chuo zaidi ya Plagiarism?
 
Hayo maji kama yamewekwa basi ni miaka hii 2021 na kuendelea
Almost all colleges maji yanasumbua

Ukiingia Hostels za kike utaona madiaba, ndoo na madumu ya maji yamejaa,pamoja na kamba za kuvutia maji.
Hostel za kiume wanaishi kibabe ndo hizo ukipita koridoni utasikia harufu za vinyesi na mikojo.
Mie nisingeweza kwa kweli, khaaah
 
Back
Top Bottom