A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

Dah mimi nilichaguliwa m ila nikaforce b 2005 hiyo , niligundua b ni ya kikatili zaidi ya A japo chini zote nilitia banda
b haikua ktk ndoto zangu, japo nilipata grade B, ila machaguzi mengi niliweka m, b Nimewaachia kaka niliyemfuata na dogo aliyenifuata.

b inakaza sana, coz p na c zina uwiano, ko hata ukiweka m haisumbui, sasa b inajitenga kivyake ndo mziki hapo.

Hongera sana.
 
Dah hi ngoma B ilinitesa sana nikajikuta natia 2 wakati chini nilitoka na 1 ya 8
 
Sio kwako wee pekee, kunae jamaa alikua ananifundisha p wakat wa likizo, alikua pale Mzumbe, huwezi amini tokeo likatoka, eti p na c kaweka A, kuja b kaweka C, nilistaajabu.
Ndo akanambia b inajitenga mno, haina uwiano na p na c ktk comb, so inatakiwa kukaza.
Alienda DDS muhas, now yuko intern huko kanda ya kati.
 
Akiwa anatumia vizuri (tunaita ufuasi mzuri) viral load inakua chini hivyo uwezwkano wa kuambukiza unakua mdogo, ingawa bado tunasisitiza Kuchukua TAHADHARI. .....na je wewe ambaye huna kinga wala hauna dawa status yako ya maambukizi unaifahamu? Unaweza kumuongezea mwenzio batch ya maambukizi zaidi.
Mimi Niko safe Ila nilikutana na mhanga wa hivyo ndo maana nikauliza huku, maake akili yangu ilistaki mpk nilivurugwa, so far nimekuelewa
 
Naam tubezi kwenye hiv ambayo ni hatare zaidi, unakuta wapenzi au wengine wana ndoa mmoja anao mwingine Hana, lkn anasema kazaa watoto wasio na hiv na mwenza wake hajaambukizwa, akidai maambukizi yapo chini kwa kumeza dawa , lkn me huwa nikifkria bado naona kipengele sana aseeh

nna mtu wa karibu alinambia Hali ya kuwa ni born with hiyo ngoma nilitokwa mpk na machozi despite ni me, km mimi tuu aan sjui nilifkria nn lkn ndo hivyo
Napenda kuongeza point hapa, hali hii inawezekana kabisa kutokana na maendeleo ya tiba na ushauri sahihi wa kiafya. Kwa wanandoa ambao mmoja wao ameambukizwa VVU na mwingine hajaambukizwa (tunaita "serodiscordant couple"), kuna njia salama za kuhakikisha maambukizi hayapitwi kwa mwenza wala kwa mtoto.

Moja ya mambo ya msingi kuelewa ni kwamba sperm (mbegu za kiume) zenyewe hazibebi virusi vya HIV. Virusi wanapatikana katika semen fluid, ambayo ni majimaji yanayozalishwa na tezi mbalimbali za uzazi kama prostate gland (tezi dume), seminal vesicles (zinazotoa lishe na nishati kwa sperm), na accessory glands kama bulbourethral glands.

Katika maabara, kuna njia ya kisayansi inayojulikana kama sperm washing, ambayo hutenganisha sperm kutoka kwenye semen fluid. Njia hii hutumika hasa kusaidia kupata mimba salama kwa wanandoa walioko katika hali ya serodiscordant. Baada ya kutenganisha sperm, mbegu safi zisizo na maambukizi huweza kutumika kwa ajili ya fertilization (urutubishaji) kwa njia salama.

Mbali na hilo, matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa mwenza aliyeambukizwa husaidia kupunguza kabisa uwezekano wa maambukizi. Ikiwa virusi havionekani kwenye damu (undetectable viral load), hatari ya kumuambukiza mwenza au mtoto ni ndogo sana, karibu sifuri.

Kwa hiyo, kwa ushauri sahihi wa wataalamu wa afya na ufuatiliaji wa karibu, inawezekana kabisa kwa wanandoa wa aina hii kupata mtoto asiye na maambukizi ya VVU.
 
Shukrani kwa somo zuri sana umeeleza in deta

iled ngoja nikitulia ntakuchek inbox mkuu wangu
 
Back
Top Bottom