Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,116
- 41,705
Mimi uhuni nilitundikaga duruga mapema Sana.Kuna pisi zimenona zinavutia sana lakini zimeungwa gridi ya taifa ukijichanganya ndio basi tena.
Hatareee sanaa
Mimi uhuni nilitundikaga duruga mapema Sana.Kuna pisi zimenona zinavutia sana lakini zimeungwa gridi ya taifa ukijichanganya ndio basi tena.
Acha uoga mkuu, kuna mishangazi ina joto balaaMimi uhuni nilitundikaga duruga mapema Sana.
Hatareee sanaa
Nyinyi pambaneni nayo mishangazi Mimi napiga kinywaji changamshi then nyumbani 😆😊Acha uoga mkuu, kuna mishangazi ina joto balaa
SawaHuwezi amini Kuna mmoja niliona Juzi, naona umenitag naona kupata notification ni changamoto jamii forum wanazingua
Anakupenda sana, amekuokoa! Ukikutana na mfuasi mzuri wa ARV hawezi kukuambukiza kwa urahisi maana mara nyingi viral load inakua sio kihivyo. Kongolesijui yule Mwanamke alikuwa anafikiria nini.. alinitumia sms nanukuu "kwa nn jana umenitumia bila ya kondom mm mwenzako natumia dawa"
Sisi tusio na CCR5 tunachakata tu bila hofu.Nyinyi pambaneni nayo mishangazi Mimi napiga kinywaji changamshi then nyumbani 😆😊
Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440 nyuma ikiwa na mzigo wa tani 26 ambao ndio jukumu langu kuhakikisha unafika destination husika.
Kwangu mimi sio kazi ni refreshment maana a trip with nature is very beautiful adventure safari yetu iliaanza ijumaa saa moja za usiku toka Dsm stori za hapa na pale ukweli ni zaidi ya adventure na vile kibunda kipo basi full kugombania kulipa bill pale tunaposimama kwa ajili ya chakula.
View attachment 3327879
Hatimae tukafika Tunduma jpili asubuhi kwa vile mzigo wetu ni special case tukapewa kipaumbele kufikisha kwenye ofisi za border tukafanya makabidhiano na maafisa wa border jukumu langu likawa limeisha nikatafuta sehemu nikaoga na kubadilisha nguo nikapiga menu na kupumzika kidogo.
View attachment 3327880
Sikuwa na haraka ya kurudi dar nikatenga kama siku mbili za kuexplore Tunduma ilikuwa mwendo wa mbuzi katoliki ugali na pombe kidogo sehemu niliyofikia Kuna barmaid nilimuelewa ila sikuwa na pupa kudeal naye nilipanga kumchombeza siku Moja kabla ya kuondoka ili tusizoeane kivile.
Siku Moja kabla ya kuondoka as usual nimeshiba nikaanza kupiga zangu lager taratibu huku jioni inaingia baada ya vitu kukaa nikamuita yule mrembo muonekane wake ni short chassis iliyoshiba nina experience nao hawa watu hawana kazi mbovu nikamwambia kuwa free agiza bibie mtoto hana gharama naye kaagiza local beer na kiepe stori za hapa na pale mi namzea mate balaa.
Saa saba hao mdogomdogo kwenye room niliyofikia ilikuwa ni experience ya sex tourism wote tulikuwa under influence ya alcohol kilichofanyika ni zaidi ya ufuska kinga ilitumika mara ya kwanza tu round zilizobakia ilikuwa nyama kwa nyama asubuhi ilivyofika nikampa fungu lake tukabadilishana namba Mimi huyo stendi kuanza kuitafuta Dar es salaam.
sijui yule Mwanamke alikuwa anafikiria nini.. alinitumia sms nanukuu "kwa nn jana umenitumia bila ya kondom mm mwenzako natumia dawa"
Una enjoy vipi bila kuchakata?Labda anatumia dawa ya minyoo usihofu,hapo tunduma kuna baa moja local tu hivi nje kuna nyama zinachomwa ni balaa,na kuna sausage za zambia aisee ni tamu mno na nilishakaa hapo 2 days na pia nikaenda nakonde upande wa zambia napo nilienjoy sana lakini sikuthubutu kuchukua demu yoyote yule
Mkuu, izo CCR5 Zina bunguliwa Mbona chap ☺️Sisi tusio na CCR5 tunachakata tu bila hofu.
Nashukuru sana mekuJitahidi unavyoweza usithubutu kuiweka afya yako rehani hata mara moja hiyo ndiyo furaha pekee uliyonayo uwe una hela au hauna hela.
Ukipata nafasi ntakuzingatia unipe elimu,View attachment 3328001
Leo nilikua busy Sana hapa NIMEAMUA kujipumzisha japo naona Bado mambo ni mengi mengi.
Unaweza ku sex na muathilika kama haitatokea michubuko yaan kusiwe na blood contact with infected person..Ila Sasa ukiwa umekunywa unaichakata kisawasawa maana blood supply inakua very high kwenye kichwa Cha Chini☺️
Tafiti zinaendelea kuhusu mtu anae tumia dawa kwa usahihi account ya wadudu inapungua inasemwa.
Mambo ni mengi mno mzee muda machache ni funzo kwetu pia Kama vijana.
Piga zako tungi Ila usinunue Malaya ni risk Sana ukiwa under influence of alcohol mzee mwenzangu min_me anaelewa.
Rate ya maambukizi ya ugonjwa wowote yanatokana na virulence load ndani ya host, so kama mtu anatumia dawa vizuri virulence load ya mdudu ndani ya host upungua hata strains atakaokuwa akiusambaza kwa wengine makali yake upungua, mfano ukakutana na mwenza mwenye gonnorhea sugu utokan na kutoanza matibabu mapema aitha ni kutofahamu kam anamaambuzi au la despite of urethral or vaginal discharge, ukikutana na mtu kama huyu maambukizi yake utaambukizwa kwa haraka sana na utakapoanza matibabu utaitajika kupewa vidonge vya siku nyingi kwa sabb strains waliokushambulia wana virulence kubwa.Naomba kuuliza kwani mtu akitumia dawa Kuna uwezekano wa kupata maambukizi ? Wenye elimu Dr am 4 real PhD
Nimecheka sana😂😂😂😂Duh mkuu ukala pisi ya tunduma kavukavu kweli nyege zinaweza kukupeleka sehem hata upewe heavy machine gun huwezi enda.
Naam tubezi kwenye hiv ambayo ni hatare zaidi, unakuta wapenzi au wengine wana ndoa mmoja anao mwingine Hana, lkn anasema kazaa watoto wasio na hiv na mwenza wake hajaambukizwa, akidai maambukizi yapo chini kwa kumeza dawa , lkn me huwa nikifkria bado naona kipengele sana aseehRate ya maambukizi ya ugonjwa wowote yanatokana na virulence load ndani ya host, so kama mtu anatumia dawa vizuri virulence load ya mdudu ndani ya host upungua hata strains atakaokuwa akiusambaza kwa wengine makali yake upungua, mfano ukakutana na mwenza mwenye gonnorhea sugu utokan na kutoanza matibabu mapema aitha ni kutofahamu kam anamaambuzi au la despite of urethral or vaginal discharge, ukikutana na mtu kama huyu maambukizi yake utaambukizwa kwa haraka sana na utakapoanza matibabu utaitajika kupewa vidonge vya siku nyingi kwa sabb strains waliokushambulia wana virulence kubwa.
Kula na kunywa nilienjoy kabisa lakini pia nilitembea kwenye maduka upande wa zambia na tanzaniaUna enjoy vipi bila kuchakata?
Hiyo ni kweli, ukiwa katika ARV therapy kwa wale waanga wa HIV, endapo utazingatia taratibu za kiafya kwa kunywa dawa kwa wakati kuzingatia lishe bora husaidia kupunguza uzito wa virus na kufanya kinga ya mwili kutokuwa compromised, na mwisho wa siku yul mweny positive ukija kupima utakuwa undectecte kiafaya tuna formula isemayo Undetected = Untransmittable, ikiwa inamaanisha kam kipimo kimeweza kuwa Specific bas hakuna uwezekano wa kuwa na maambukizi.Naam tubezi kwenye hiv ambayo ni hatare zaidi, unakuta wapenzi au wengine wana ndoa mmoja anao mwingine Hana, lkn anasema kazaa watoto wasio na hiv na mwenza wake hajaambukizwa, akidai maambukizi yapo chini kwa kumeza dawa , lkn me huwa nikifkria bado naona kipengele sana aseeh
nna mtu wa karibu alinambia Hali ya kuwa ni born with hiyo ngoma nilitokwa mpk na machozi despite ni me, km mimi tuu aan sjui nilifkria nn lkn ndo hivyo
Na vipi ikatokea mwenye maambukizi ya chini akakutana na mwenye maambukizi ya juu inakuaje?Hiyo ni kweli, ukiwa katika ARV therapy kwa wale waanga wa HIV, endapo utazingatia taratibu za kiafya kwa kunywa dawa kwa wakati kuzingatia lishe bora husaidia kupunguza uzito wa virus na kufanya kinga ya mwili kutokuwa compromised, na mwisho wa siku yul mweny positive ukija kupima utakuwa undectecte kiafaya tuna formula isemayo Undetected = Untransmittable, ikiwa inamaanisha kam kipimo kimeweza kuwa Specific bas hakuna uwezekano wa kuwa na maambukizi.