A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

Naomba kuuliza kwani mtu akitumia dawa Kuna uwezekano wa kupata maambukizi ? Wenye elimu Dr am 4 real PhD
Akiwa anatumia vizuri (tunaita ufuasi mzuri) viral load inakua chini hivyo uwezwkano wa kuambukiza unakua mdogo, ingawa bado tunasisitiza Kuchukua TAHADHARI. .....na je wewe ambaye huna kinga wala hauna dawa status yako ya maambukizi unaifahamu? Unaweza kumuongezea mwenzio batch ya maambukizi zaidi.
 
Ungeileta na Boflo sasa chifuu😂😂


By the way,
MGODINI(Geita & kahama),BOARDER na VISIWANI(Ziwa victoria) Ukimwi wake ni unaanza kuota madonda after sex😂😂
 
Poa, basi mfe tu.!!
Kwanza mna mchango mdogo kwa taifa km hata condom hamtaki kuvaa.. 😹😹😹
Mimi ni mstaafu sina heka heka za kukimbizana na wanawake kwa sasa sanaaa Sanaa mkuu MIMI NI MDAU WA VINYWAJI CHANGAMSHI BILA KUMSAHAU NDUGU YANGU WA MAANA KABISA min -me
 
Ukimwi si ugonjwa!!
Watufanyaga sisi wajinga..
Zile Arvs ndo tatizo
(Any way I don't know)
Atumie PeP
 
Back
Top Bottom