cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,977
- 189,725
Wacha wee, ๐๐๐๐Mlevi mwenzangu huyu ila kwa heshima tu huwa tunajiita wanywaji๐ ๐
Wacha wee, ๐๐๐๐Mlevi mwenzangu huyu ila kwa heshima tu huwa tunajiita wanywaji๐ ๐
Sasa mbna wee unakata kijibapa kidg na una type? Huogopiii? ๐๐๐๐Min_me hukataza kuchati uku unapata kinywaji changamshi ๐
Mbege ileUlanzi ni pombe? Km yess bas nakunywa.
Usijar, ni mtamu balaaa. ๐๐๐๐Sijawahi onwards ila siku moja nitakunywa.
Kabisa mimi nilishatoa cv zangu humu kipumbavu sna kisa ulevi๐คฃ๐คฃ sema now nakunywa hapa kistaarabu naonaa siku nzima hii nitakunywa tu๐Min_me hukataza kuchati uku unapata kinywaji changamshi ๐
Siipendi km nn, naona km uji wq ulezi vile.Mbege ile
Nasikia unalegeza magoti eti?Usijar, ni mtamu balaaa. ๐๐๐๐
Haujawahi pata ile yenyeweSiipendi km nn, naona km uji wq ulezi vile.
๐๐๐๐๐
Alcohol percentage of 35% hapo gawanya kwa 4.5 za safari sijui ni 5 haaahaa ๐ ๐Safi hivi hiyo konyagi ndogo mtu akinywa ni kama bia ngapi za safari lager
Sio kivilee, ๐๐๐๐Nasikia unalegeza magoti eti?
Coca upo strong ๐ช eee mpaka unaweza kunywa MDINDIFU ๐๐๐Usijar, ni mtamu balaaa. ๐๐๐๐
Kabisa najivunia pombeWacha wee, ๐๐๐๐
Labda utengenezaji wake, kule kwetu utadhani uji wa ulezi, sijawahi ipenda mbege mie.Haujawahi pata ile yenyewe
Mbege ni pombe ya kienyeji nzuri dunia yote ,kwa Tanzania ni pombe ya kienyeji pekee iliyopanda ndege kwenda kujithibitisha kwenye viwango vya kidunia.Labda utengenezaji wake, kule kwetu utadhani uji wa ulezi, sijawahi ipenda mbege mie.
Yaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.Coca upo strong ๐ช eee mpaka unaweza kunywa MDINDIFU ๐๐๐
Wapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, LolMbege ni pombe ya kienyeji nzuri dunia yote ,kwa Tanzania ni pombe ya kienyeji pekee iliyopanda ndege kwenda kujithibitisha kwenye viwango vya kidunia.
Umekumbusha projection motion , unaonekana ulikua mkali wa hizi kazi sana ๐คYaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.
Kuna siku nililewa nikaanza shuka desa za Projectile motion, watu wanacheka hatarii, najiona lecturer kabisa. Nisiropoke ningekua mwalimu sifundishi na kitabu,
Kumbe mama yuko ananitazama tyuu, zilipoisha nguvu za ulanzi, anasema usirudie kulewa tena. ๐๐๐๐๐
Mimi nausikiaga TU mdindifu kumbe una alcohol nyingi eeee ๐คYaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.
Kuna siku nililewa nikaanza shuka desa za Projectile motion, watu wanacheka hatarii, najiona lecturer kabisa. Nisiropoke ningekua mwalimu sifundishi na kitabu,
Kumbe mama yuko ananitazama tyuu, zilipoisha nguvu za ulanzi, anasema usirudie kulewa tena. ๐๐๐๐๐
Sio kujipaisha , unajua kina meku tukiongelea uhalisia wetu huwa tunaonekana hivyo , ndio maana mda mwingine tunajifanya matahira tu maisha yaende.Wapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, Lol
๐๐๐๐๐
Wahaya ndio babalaoWapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, Lol
๐๐๐๐๐