A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

Mimi nausikiaga TU mdindifu kumbe una alcohol nyingi eeee 🤠

Mama aliweka a remarkable comment USIRUDIE KULEWA TENA😁
Wee ulanzi ule mkangafuu ni nomaa, sasa alikujaga mdogo wa shem kwetu, ile kuonja unanoga sukari, anasema sio pombe hii ni chai.

Kilichomkuta alienda kusimulia kwao, 😂😂😂😂😂
Kila nikikumbukaa nachekaa had bas
 
Hatareee sanaa
 
Wapi wewe, ungekuwa umekula kitumbua kikavu bila chai usingehadithia hadithi hapa....
Lakini mi nilidhani kwakuwa kala kikavu na binti anatumia dawa ndio vizuri?

Maana naye dawa inamuingia hivyo wanapona wote, au ?

Binafsi nashauri aendelee kula vyenye dawa visivyo nadawa vitamdhuru.
 
Back
Top Bottom