"A man should provide for his wife. PERIOD"

weka titlle..wewe hujasoma shule? kuna maswali ulikuwa unaulizwa unapewa short story then unaambiwa ui tittle..
andika hata
saint ivuga loves afrodenz..

Eh,come again Ivuga,...
afu jana nimekuona mitaa yako sema nilishindwa kukusalimia
maana duh,chibuku ina kuharibu
 
Rafiki suala ni kusaidiana lakini kwenye kusaidiana kila mmoja lazima asimame kwenye nafasi yake,mbona nimeona watu baba anatoa kila kitu,kipato cha mama kinatumika kama serving na kama ikitokea tofauti mama anatumia kipato chake kusaidia mambo madogo madogo ya familia.
kwa wale ambao baba anapata kidogo mama anaweza kuendeleza gurudumu lakini baba lazima ajiweke kwenye nafasi yake mwanamke atamuheshimu tu sio mama anapigana kufa kupona halafu ukirudi nyumbani bakuli wazi matusi mdomoni hapo hapo unataka mrukia kama fisi aliyekosa maji matatizo matupu heshima itakuwepo kweli?

Mawasiliano ni jambo la muhimu sana kwenye mahusiano yoyote tusichukue yale tunayoamini kujiaminisha tunafanya sahihi kwa wenza wetu.Unaweza fikiri ulitwanga vizuri sana usiku umemridhish wife kumbe alihitaji busu tu na neno zuri moja kutoka kwako.
Umenena vema...Happy birthday!

Hujanijibu swali ujue........... ENDAPO kipato cha baba kinatosheleza matumizi na mahitaji yote kwa ailimia 100. Na bado bank anasevu kiasi cha kutosha. kipato cha mama kinapaswa kiende wapi?
 
My dia, sidhani kama hawawezi kukaripiwa........ila wababa wenyewe wanajistukia na kuwa hawana confidence ya kulianzisha. Na ndio inafikia hatua baba hawezi kutoa maamuzi magumu ya familia yake maana hana nyenzo zakumuwezesha kutekeleza majukumu hayo. Ndio maana tunawaomba wanaume warudi kule kwenye asili yao na waache mchezo kwenye hilo.

Kbd,

Ni vigumu sana kudeal na mtu anayekuweka mjini...Usipokuwa mwangalifu unaweza kutembezwa kwa remote control! Niliwahi kuwaeleza humu ndani ila wajukuu hawakuelewa....Afadhali limerudishwa kivingine...Kwa mwanamume yeyote anayetaka kufurahia maisha basi aangalie hivi vitu viwili muhimu,

1. Asioe mwanamke aliyemzidi kipato, elimu au madaraka...asiposikia basi ajiandae kuishi ndani ya nyumba kama nyau!
2. Asioe mwanamke anayemzidi umri.....atashangaa kabla ya muongo mmoja anaishi na nyanya yake!

Naomba wakereketwa wanisamehe...ni upendo tu kwa wajukuu unaonisukuma....pia kutokana na uzoefu wa kuishi na wakoloni enzi hizo za 1947!

Babu DC.
 
Mjukuu mtiifu............BINGO!

Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kama za wabunge wa CCM.

Swali la kizushi..... Ikatokea baba anaprovide kila kitu....... na hiyo kwenye bold hapo isitokee.. Yaani baba ni Full Mkwanja kama Rostam mdogo.... Kipato cha mama kinapaswa kiende wapi?

Afu na hiyo signecha yako umeidediketi kwa nani?

Mzee mwenzangu...pesa haziwezi kukosa kazi. Wahitaji ni wengi sana, kuanzia ndugu, jamaa, marafiki hadi serengeti girls!!

Ikishindikana kote huko atampelekea Shekh Mkuu kama EL!!
 
Mhh sasa hapo nadhani utakuwa used na utakuwa unatumika more of a tool na sio mume... :)
Binafsi nadhani a good relationship is more than sharing a bed and providing material things....
Its more of a partnership and friendship, sharing everything mawazo na kusaidiana kwa kila kitu,
even if mume wako hataki uprovide anything it helps kama utamnunulia vijizawadi, nguo e.t.c
yaani you should treat him am sure huko njiani akiwa anatembea huku kavaa shati na saa mke wake aliomnunulia he will appreciate.

So minor things might make a Big Difference..., By the way MJ I think i will change my Avatar hii ni mara ya pili unaniita Babu (but i take it as a compliment :) )

Aksante Mzee DC (I hope this time nimepatia LOL) Yaani uko sawa kabisa maana wakati naisoma huyu bwana kakazania kusema kama mwanaume anajijua si mzuri kwa bed basi ajitutumue kuprovide (na hapa ndo linapokuja swali la The Boss je kama hajiwezi kote?) au kama u mzuri sana kwa Bed usiprovide??

Hapo kwenye zawadi Mzee uko sawa kabisa na pia tunachokisahau wanawake wengi ni kuwa tusisubiri tu kuletewa zawadi (kwa wale wenye bahati zao); nasi siku moja moja tumshower na zawadi wajameni. ... itabidi Shantel utupe kitchen party bi dada maana yako mswano!!.
 
Mzee mwenzangu...pesa haziwezi kukosa kazi. Wahitaji ni wengi sana, kuanzia ndugu, jamaa, marafiki hadi serengeti girls!!

Ikishindikana kote huko atampelekea Shekh Mkuu kama EL!!
Sawa mzee mwenzangu.........ngoja tuwaache hawa kinamama waendelee na mjadala.

Ila kama hii ndivyo inawapasa wababa tufanye......... basi hawa wamama wasitukataze katika zile mila nyingine kama hii ya "Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja"
 
Aksante Mzee DC (I hope this time nimepatia LOL) Yaani uko sawa kabisa maana wakati naisoma huyu bwana kakazania kusema kama mwanaume anajijua si mzuri kwa bed basi ajitutumue kuprovide (na hapa ndo linapokuja swali la The Boss je kama hajiwezi kote?) au kama u mzuri sana kwa Bed usiprovide??

Hapo kwenye zawadi Mzee uko sawa kabisa na pia tunachokisahau wanawake wengi ni kuwa tusisubiri tu kuletewa zawadi (kwa wale wenye bahati zao); nasi siku moja moja tumshower na zawadi wajameni. ... itabidi Shantel utupe kitchen party bi dada maana yako mswano!!.

Hapo vipi kajukuu?????
 
Sawa mzee mwenzangu.........ngoja tuwaache hawa kinamama waendelee na mjadala.

Ila kama hii ndivyo inawapasa wababa tufanye......... basi hawa wamama wasitukataze katika zile mila nyingine kama hii ya "Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja"

Mzee mwenzangu vipi? Yaani hadi leo bado hujawajua hawa wadogo zetu kutoka sayari nyingine?

Kuhusu hilo (red), soma ushauri huu murua (post # 106) kutoka kwa mdau mwenzao....!

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/153487-mwanamke-mzuri-6.html#post2209237
 
Hapo ni makubaliano ya wawili, wengine kinabaki kwa mama kujinunulia vitu vyake na baba haulizi .
na wakati mwingine pamoja na mama kupewa kila kitu kuna vitu vidogo vidogo ambavyo sio lazima mama kurudi tena kwa baba anaweza kufanya na kumshirikisha baba kwamba ameona ni vema na yeye akatoa kidogo kusogeza gurudumu lao.

Asprin usisahau pia kuna wenye uwezo wa kufanya 100 aslimia lakini hawatoi hawa sijui tunawaweka wapi
?
Umenena vema...Happy birthday!

Hujanijibu swali ujue........... ENDAPO kipato cha baba kinatosheleza matumizi na mahitaji yote kwa ailimia 100. Na bado bank anasevu kiasi cha kutosha. kipato cha mama kinapaswa kiende wapi?
 
Kbd,

Ni vigumu sana kudeal na mtu anayekuweka mjini...Usipokuwa mwangalifu unaweza kutembezwa kwa remote control! Niliwahi kuwaeleza humu ndani ila wajukuu hawakuelewa....Afadhali limerudishwa kivingine...Kwa mwanamume yeyote anayetaka kufurahia maisha basi aangalie hivi vitu viwili muhimu,

1. Asioe mwanamke aliyemzidi kipato, elimu au madaraka...asiposikia basi ajiandae kuishi ndani ya nyumba kama nyau!
2. Asioe mwanamke anayemzidi umri.....atashangaa kabla ya muongo mmoja anaishi na nyanya yake!

Naomba wakereketwa wanisamehe...ni upendo tu kwa wajukuu unaonisukuma....pia kutokana na uzoefu wa kuishi na wakoloni enzi hizo za 1947!

Babu DC.

Babu wa loliondo.........sorry DC, naomba kukuuliza! Sawa ikatokea umeoa mdada mwenye kipato cha chini na ya Mungu mengi cheo kikapanda na kipato kikaongezeka mpaka akakuzidi, utafanyaje?

Mimi nadhani swala la msingi ni kwamba, wanaume wasibweteke simply bcoz mama anakipato kikubwa, na yeye akatulia tu asifanye chochote. Kipato chake kikubwa kisikufanye wewe kubadili majukumu yako........afta all ndoa haijengwi na vipato bali upendo wa dhati. Tumia kipato chako ulicho nacho, fanya kazi kwa bidii ukijua unamajukumu na mwisho wa siku mama hatakuacha uabike kwa kukupa sapoti yake yote na mwisho wa siku familia inakuwa nzuri, yenye upendo na amani na bila majirani kujua tofauti ya vipato vyenu.
 
Ingawa umeanza kwa kumtukana babu...ila nitachukulia kuwa ni utani wa wajukuu!!

Kuna tofauti kati ya kuoa mwanamke mwenye pesa nyingi kumzidi mwanamume na couple ambayo mambo yanabadilika wakati wako kwenye ndoa. Ikitokea hiyo ya pili, watakuwa tayari wameshaweka mfumo ambao utaweza kuwaongoza bila kushusha komfo (confidence) ya mwanamume. Suala la tofauti kati ya mume na mke ni nyeti sana. Mifano ipo mingi sana inayoonesha jinsi ambavyo wanaume wenye uwezo mdogo wanavyogeuka kuwa wa hovyo au aggressive ili kulipia huo upungufu wako!

Bado naamini niliyoyataja kwa 1000%.

Babu DC!
 
Hapo kwenye bluu........naomba msamaha babu si lengo langu kukutusi, bali utani tu na nakuahidi haitatokea tena.

Hapo chini nilipobold kuna ukweli ndani yake wa zaidi ya asilimia mia. Hata mimi nimeona mahali.........badala ya kuwa wapole na kupanga mashambulizi wengi wanakuwa wakorofi na mtazamo hasi juu ya kila jambo. Hivi hii inatokana na nini babu?
 
Sijawahi ona mwanaume anayeridhika na kutawaliwa na mke labda awe na matatizo ndo maana kuna wakati wanatumia nguvu za ziada kuonyesha mamlaka yao,wameumbwa viongozi/vichwa vya nyumba na ndivo inavopasa kuwa.

Nakubaliana na hoja yako dia...........ila kwa kutambulisha uwepo wao kwa mateke na magumi hapo ndo penye shida. Sidhani kama unahitaji kutumia nguvu kutambulisha uwepo wako kwenye familia.
 
Communication hakuna dada Nyamayao, watu wanakurupukia tu hilo tendo, mwanamke anaogopa kumwambia mumewe hajaridhika sababu tu, anaogopa kuonwa kama muhuni hivi asiyetosheka, na hili lipo sana hata kwa wakati huu ambapo wanawake wana uhuru wa kuongea, mwenzangu sijaridhika hubanduki mpaka kieleweke....na wanaume nao hawaongei kwenye tendo utasikia mtu anaguna tu mara hata hujui kamaliza saa ngapi khaaaaaa wapo wa aina hii na ndio wanarostisha wanawake kwenye suala zima la kuridhishana

kwakweli akina baba acha tu hizi lawama kutoka kwa akina Black bery tuzipate,
tumezidi uvivu sio siri................
siku hizi unakuta wanaume tumejisahau kiasi kwamba tunaona wake zetu ni kama dada zetu ati.................
Hata kwenye 6x6 unakuta ni uvivu tu na ubinafsi ndo umetujaa,
nani alikwambia kuwa wake zetu nao hawahitaji hayo maufundi na ligwaride lililokwenda shule?
hebu akina baba tuwe siriaz hapo, lazima tukiri haya makosa..............hizi lawama hazikwepeki bana.....

unakuta mtu anaonyesha maufundi yake yote kwa mpango wa kando........akija home anapapasa tu!!!!!!
Wake zetu wanabaki kusimuliwa/kusikilizia maufundi kwa majirani tu,
hebu tusimame imara jamani tuondoe haya mauvivu, kamua bana, pigwa kwata kama mwanajeshi,
wake zetu wanapenda/wanaenjoy sana, sema tu kwakuwa nao si hulka yao kuweka mambo hadharani!!!!!
Kauli mbiu, ''Akina baba tutokomeze uvivu...........uvivu tupa kuleee''!!!!
 
...mimi maswali yangu manne iwapo mwanaume anastahiki ku 'provide for his wife'

1. kwa kiwango gani?...kwa kila kitu? au kwa yaliyo makuu i.e Nyumba, Chakula, Mavazi, na Matibabu.
2. kwa muda gani? mume akiwa mzima au ugonjwa, mume akiwa kijana au mzee
3. mwanamke abakie (full-time) mama wa nyumbani? ...kwakuwa pesa yake haihitajiki, ruksa alee watoto tu?
4. kipato chake (mke) kitafsiriwe vipi?

...nachelea tafsiri ya maamuzi haya 'compared' na mila, desturi na tamaduni za makabila/utaifa.
Kwetu 'Mwambao' yanawezekana sana haya. Mke anashinda ndani kulea watoto, kujifukiza udi nk...
'Unyamwezini' mume na mke wote wanapiga matuta!...Sijui kule kwa 'Wakurya' kukoje...!
 
Hapo kwenye bluu........naomba msamaha babu si lengo langu kukutusi, bali utani tu na nakuahidi haitatokea tena.

Hapo chini nilipobold kuna ukweli ndani yake wa zaidi ya asilimia mia. Hata mimi nimeona mahali.........badala ya kuwa wapole na kupanga mashambulizi wengi wanakuwa wakorofi na mtazamo hasi juu ya kila jambo. Hivi hii inatokana na nini babu?

Ni hulka tu ya binadamu kupenda kutawala. Ila kwa mwanamume yeyote inakuwa vigumu kuwa chini ya utawala wa mwanamke. Hata wale ambao maboss wao ni wanawake bado utaona aina fulani ya kutoamini kama ni kweli. Ndivyo walivyoumbwa na bahati mbaya malezi nayo yanachangia sana. Labda na hizo hormone zetu (testosterone) pia!!

Nakubaliana na hoja yako dia...........ila kwa kutambulisha uwepo wao kwa mateke na magumi hapo ndo penye shida. Sidhani kama unahitaji kutumia nguvu kutambulisha uwepo wako kwenye familia.

Mdogo wangu...mamlaka siku zote lazima uyalinde kwa nguvu zote...Hebu jaribu kwenda kumchomoa JK mjengoni uone jinsi utavyopambana na vijana wa kazi (FFU) kabla ya kukutana na ile mi-afande isiyojua lugha nyingine ziadi ya risasi (jeshi)! Inakuwa vigumu mwanamume kuamini kwamba anaweza kuishi ndani ya nyumba na kupokea orders kutoka kwa wife....Hata sijui ningefanyaje!!
 
...mimi maswali yangu manne iwapo mwanaume anastahiki ku 'provide for his wife'

1. kwa kiwango gani?...kwa kila kitu? au kwa yaliyo makuu i.e Nyumba, Chakula, Mavazi, na Matibabu.
2. kwa muda gani? mume akiwa mzima au ugonjwa, mume akiwa kijana au mzee
3. mwanamke abakie (full-time) mama wa nyumbani? ...kwakuwa pesa yake haihitajiki, ruksa alee watoto tu?
4. kipato chake (mke) kitafsiriwe vipi?

...nachelea tafsiri ya maamuzi haya 'compared' na mila, desturi na tamaduni za makabila/utaifa.
Kwetu 'Mwambao' yanawezekana sana haya. Mke anashinda ndani kulea watoto, kujifukiza udi nk...
'Unyamwezini' mume na mke wote wanapiga matuta!...Sijui kule kwa 'Wakurya' kukoje...!

Ni kweli mume anatakiwa ku-provide kila kitu especially vile muhimu sana kwa maisha ya familia...msosi, shelter na dinner ya mama watoto!! Hata hivyo lazima kuwe na exceptions...Kwa maana hiyo hakuna kanuni ya kimsahafu katika hili jambo! Ila kama baba anashika usukani kweli basi ni muhimu kuhoji kishikaji wapi kipato cha mama kinaenda! Vinginevyo unaweza kukutana mwanamume anampendezesha wife wakati huo wife ananenepesha teaser bull fulani huko pembeni!!
 
Tatizo kubwa la akina mama wapo biased. Mnachukua masuala ambayo yanawafurahisha tu na kuacha mengine hewani.
  • Wanawake wanatakiwa kutunzwa na waume zao
  • Wanawake hawatakiwi kufanya kazi, wabaki nyumbani walee watoto na kumsubiri kumhudumia mume
  • Wanawake wanatakiwa kutii amri za waume zao kwani ndio viongozi wa familia.
  • Hakuna usawa kati ya mume na mke. Mme ni kichwa cha familia
Lakini wakina mama wanapodai usawa, kazi sawa na wanaume, ukorofi na kutotii waume zao ktunzwa tena kunakuwa hakuna nguvu,

si ndio uswa wenyewe??

Wanawake wengi hawaridhishwi na waume zao, sio kwa sababu ya mapungufu ya wanaume bali wanawake wengi hujiharibu wenyewe kabla ya ndoa. Utakuta mtoto kaanza kuyajua mapenzi akiwa na miaka 13 unadhani akiolewa na mvulana inocent alie anza mapenzi akiwa Chuo, Ataweza kumridhisha??
 
Back
Top Bottom