"A man should provide for his wife. PERIOD"

Babu yaani imenichanganya sana hii article mpaka nikakumbuka ya zamani!! Nakumbuka nilikuwa naambiwa nijifunze kuwa 'a lady' just because nilishajizoeza kutokuwa tegemezi, bahati mbaya kuna watu ambao mke akisema asaidie wanaona kama mwanamke anataka kuwatawala...... matokeo yake wanawaabuse iiwemo kuto kuwashirikisha kwenye maamuzi muhimu ya familia.

Namkumbuka pia kuna usemi ule wa ...chako ni chetu kwa kuwa wewe ndio baba wa familia na mume, ila changu ni changu'

Huna sababu ya kuchanganywa na maoni ya mtu...Ni yake binafsi kama vile wewe unavyoona yanakwenda tofauti na uelewa/imani yako!

Theoretically, mwanamume anatakiwa kuwa kama "king of the jungle". Ila inapokuja kwenye hali halisi, maisha yana-evolve organically na mwanamume anaweza kuwa recipient pia (ingawa kwetu tulio wengi hiyo ni aibu sana). Hata hivyo kila ndoa inajiendesha kwa taratibu zake yenyewe (napenda kuita ndoa kuwa ni sovereign state) na kwa hiyo mambo yake yanaweza kuwa unique!

Babu DC
 
acha vituko mj01

title ingekuwa mwanaume ku provide....

mimi binafsi nakubaliana kwa asilimia 100
but tatizo ni je kama mtu hana uwezo je????

mimi napenda kama uwezo upo,mtu aprovide kila kitu

tazama waarabu na wake zao

sisi waswahili kushindana na wake zetu inapunguza upendo,heshima na hadhi yetu
mbele ya jamii zingine....
...

Jamani mbona kidude cha asante sikioni. :A S thumbs_up:
 
Ukweli ndo huo MJI angalia malalamiko ya wanawake wengi yameegemea kwenya hayo mambo mawili uliyoweka hapo juu.
wanaume wengi wamekimbia majukumu yao,imefanya wamama wengi kugeuka ndo nguzo ya familia nyingi tunategemea heshima itatoka wapi kama sio kulaumiana kila kukicha.
 
Pamoja na uzuri wake lakini utandawazi umetuletea shida nyingi sana hasa katika familia. Kwa asili mwanaume ni kiongozi wa familia na mamlaka hayo alipewa na Mungu mwenyewe. Sasa huku tunakopelekwa na wasomi kutaka haki sawa ni kupingana na asili ambayo hatutakaa tufanikiwa. Mwanaume ajisikie vizuri kuhudumia familia yake kwa kila kitu, kama mwanamke mwenyewe uelewa atamsupport mume wake lakini sio kupangiana majukumu ati na wewe sasa ni zamu yako kulipa ada za shule za watoto. Wababa msikwepe majukumu yenu................na sisi tutawapa support mnayoihitaji ili kudumisha ndoa yenye upendo na heshima.
 
Mwanaume ili apate heshima katika ndoa ni lazima atimize majukumu yake, ambayo ni kuhudumia familia. Haijalishi mke kakuzidi kipato au la. Mwanamke atakuheshimu hata kama kakuzidi as long as you are taking care of your responsibilities hata kama uwezo wako ni wa sh. elfu moja per day japokuwa mke uwezo anao. Mke kwa mapenzi atatoa ya kwake to make the ends meet kujazilisha palipopelea... ILA panapoboa ni pale unapopata zaidi unaficha ili mke atumie za kwake., badala umuongezee

masuala ya kumridhisha katika tendo la ndoa ni la pili, hapo kwa mapenzi yenu mtarekebishana...
 
Hapo ndipo ulipoharibu ndugu....Hakuna ndoa bila tendo la ndoa...na kwa hiyo haliwezi kupewa kipaumbele cha pili. Ndo maana hata masikini wanaoomba omba mwisho wa siku wanajiona wanaishi maisha ya furaha, kwa sababu wanapeana shea ya kutosha. Tatizo la vijana wa siku hizi ni kuhisi au kuchukulia suala la ngono kwenye ndoa kama halina umuhimu....Hayo ni makosa makubwa sana!
 
unajua hakuna mahali panaponickitisha kwenye hili game kama wanandoa esp wanawake kulalama waume zao hawawatimizii tendo la ndoa vilivyo, huwa nashangaa coz huyo kama mke unashindwa vipi kuongelea nae juu ya hili, maana hakuna anaeweza kusaidia kutatua hili tatizo zaidi ya nyie wawili kukaa chini ya kuliongelea, mie hapo huwa anani salute aisee, ctakagi vya juu juu mie, anilishe nishibe, kwenye ma2mizi mengine ya kifamilia wajibu wake 100%, nikitoa nafanya kuokoa jahazi.....
 
Mwanaume aki provide anakuwa na confidence hata za kukukaripia unapokosa, yaani ukiwa unaprovide mwanamke anakuwa mnyonge sana.twende mbele turudi nyuma kila mtu lazima a pay duty zake, sio kujifanya tu mapenzi ya kisasa, yanaharibu mahusiano tu
 
unajua hakuna mahali panaponickitisha kwenye hili game kama wanandoa esp wanawake kulalama waume zao hawawatimizii tendo la ndoa vilivyo, huwa nashangaa coz huyo kama mke unashindwa vipi kuongelea nae juu ya hili, maana hakuna anaeweza kusaidia kutatua hili tatizo zaidi ya nyie wawili kukaa chini ya kuliongelea, mie hapo huwa anani salute aisee, ctakagi vya juu juu mie, anilishe nishibe, kwenye ma2mizi mengine ya kifamilia wajibu wake 100%, nikitoa nafanya kuokoa jahazi.....
Communication hakuna dada Nyamayao, watu wanakurupukia tu hilo tendo, mwanamke anaogopa kumwambia mumewe hajaridhika sababu tu, anaogopa kuonwa kama muhuni hivi asiyetosheka, na hili lipo sana hata kwa wakati huu ambapo wanawake wana uhuru wa kuongea, mwenzangu sijaridhika hubanduki mpaka kieleweke....na wanaume nao hawaongei kwenye tendo utasikia mtu anaguna tu mara hata hujui kamaliza saa ngapi khaaaaaa wapo wa aina hii na ndio wanarostisha wanawake kwenye suala zima la kuridhishana
 
I wish ungekuwa wangu wa milele............seriously.................... Du!..Sijawahi kupata mtu wa hulka hiyo maishani mwangu. Ningetulizana kama maji ya mtungi na nahisi ningeishi miaka 200
Girl, u know how to take care of your man and make him feel special.
Do keep up the good job!!
Sherrif tulizaboli utakutana nae tu na wako wa millele
 
unajua hakuna mahali panaponickitisha kwenye hili game kama wanandoa esp wanawake kulalama waume zao hawawatimizii tendo la ndoa vilivyo, huwa nashangaa coz huyo kama mke unashindwa vipi kuongelea nae juu ya hili, maana hakuna anaeweza kusaidia kutatua hili tatizo zaidi ya nyie wawili kukaa chini ya kuliongelea, mie hapo huwa anani salute aisee, ctakagi vya juu juu mie, anilishe nishibe, kwenye ma2mizi mengine ya kifamilia wajibu wake 100%, nikitoa nafanya kuokoa jahazi.....

My dia, kuhusu hapo kwenye tendo la ndoa pia kuna wanaume wanastahili lawama (kwa hili siongelei uzoefu...lol.....ni rafiki yangu aliyekwenye ndoa alinisimulia). Yeye mume wake anafanya kazi mkoani, anaweza akapitisha miezi sita huko na wala asimtumie mkewe text ya nimekumiss. Anasema akitaka mazungumzo na mumewe yawe marefu kidogo ni lazima wazungumzie miradi waliyonayo na jinsi ya kuiendeleza. Akisema achomeke hapo neno la mapenzi mumewe huwa mkali na kumshutumu kuwa yeye (mke) anawaza ngono tu muda wote. Na akibahatika kurudi labda kwa wiki anaweza kukaa ata siku 3 hajamgusa mke wake.

Wewe unadhani kwa case kama hii nani wakulaumiwa?
 
unajua hakuna mahali panaponickitisha kwenye hili game kama wanandoa esp wanawake kulalama waume zao hawawatimizii tendo la ndoa vilivyo, huwa nashangaa coz huyo kama mke unashindwa vipi kuongelea nae juu ya hili, maana hakuna anaeweza kusaidia kutatua hili tatizo zaidi ya nyie wawili kukaa chini ya kuliongelea, mie hapo huwa anani salute aisee, ctakagi vya juu juu mie, anilishe nishibe, kwenye ma2mizi mengine ya kifamilia wajibu wake 100%, nikitoa nafanya kuokoa jahazi.....

Nakuaminia dada yangu...Kwa nini mtu apulize kipenga kumaliza mchezo wakati ndo match imeanza?

Communication hakuna dada Nyamayao, watu wanakurupukia tu hilo tendo, mwanamke anaogopa kumwambia mumewe hajaridhika sababu tu, anaogopa kuonwa kama muhuni hivi asiyetosheka, na hili lipo sana hata kwa wakati huu ambapo wanawake wana uhuru wa kuongea, mwenzangu sijaridhika hubanduki mpaka kieleweke....na wanaume nao hawaongei kwenye tendo utasikia mtu anaguna tu mara hata hujui kamaliza saa ngapi khaaaaaa wapo wa aina hii na ndio wanarostisha wanawake kwenye suala zima la kuridhishana

Mhhhh....kazi ipo kweli kweli... Si kila king'aacho ni dhahabu!!
 
nakukumbusha tu Shantel,
kuwa basi huyo si busara kuendelea kumwita mume!!!
Mungu awabariki mfunge ndoa sasa, umesikia mama?
Napenda sana kumuita mume wangu ila tumekaa muda na mtoto yupo kwa hiyo ile sheria fulani inanilinda nafikiri au?
 
Communication hakuna dada Nyamayao, watu wanakurupukia tu hilo tendo, mwanamke anaogopa kumwambia mumewe hajaridhika sababu tu, anaogopa kuonwa kama muhuni hivi asiyetosheka, na hili lipo sana hata kwa wakati huu ambapo wanawake wana uhuru wa kuongea, mwenzangu sijaridhika hubanduki mpaka kieleweke....na wanaume nao hawaongei kwenye tendo utasikia mtu anaguna tu mara hata hujui kamaliza saa ngapi khaaaaaa wapo wa aina hii na ndio wanarostisha wanawake kwenye suala zima la kuridhishana

kwa kweli huwa najichanganya/anajichanganya sana but hatujawahi kuulizana/kuhojiana kwamba hiki umekijulia wapi, hayo ni ya kizamani sana, dunia ya leo kila kitu kipo wazi, wanandoa tushirikiane kwenye hili, kama hujaridhishwa mshirikishe mwenzio mridhishane........hahaha happo red 2po wengi kumbe, hahahah nzuri sana.
 
Nakuaminia dada yangu...Kwa nini mtu apulize kipenga kumaliza mchezo wakati ndo match imeanza?

Mhhhh....kazi ipo kweli kweli... Si kila pole si kila king'aacho ni dhahabu!!
ho msemo umekujaje hapo embu tafasiri Dark city
 
Sharing Is Caring....

Jukumu la kulea familia ni la baba na mama. Kipato cha wote wawili kinapaswa kuchanganywa pamoja na kutumiwa kwa pamoja. Kama baba atatumia kipato chake peke yake, cha mama kitatumika wapi? Vibustani au?

Kwangu mimi ubaba ambao ndio menejimenti ya juu katika familia utatimilika na kuheshimika iwapo:
Baba anakuwa injini ya mama........yaani kukidhi haja ya kimwili ya mama... ampe ile kitu roho inapenda
Baba atamlinda na kuwajali mama na watoto.......yaani aonyeshe ujemedari mkuu katika familia
Baba atakuwa na maamuzi ya mwisho makuu, baada ya kujadiliana na kukubaliana na mama......
Baba atakuwa mdomo wa familia............yaani msemaji mkuu wa familia

Sasa hii ya mwanaume kuprovide.........what if ikatokea mama akawa na kipato kuliko baba....ndoa ivunjike siyo?

Hata sijui leo nimeamkaje, ngoja nirudi kitandani.
 
kwa kweli huwa najichanganya/anajichanganya sana but hatujawahi kuulizana/kuhojiana kwamba hiki umekijulia wapi, hayo ni ya kizamani sana, dunia ya leo kila kitu kipo wazi, wanandoa tushirikiane kwenye hili, kama hujaridhishwa mshirikishe mwenzio mridhishane........hahaha happo red 2po wengi kumbe, hahahah nzuri sana.
Nyamayao mapenzi yanafurahisha sana, ila bado kuna watu wapo gizani
 
Back
Top Bottom