Aksante EMT.......usitunyime uhondo tafadhali at least tupatie Link............kuna threads za Lizzy nyingi kaka yangu please, just a link will do. Aksante
Well, nitajaribu kuedit na kuweka hapa ambayo ni relevant zaidi. Thread ya Lizzy ya "Wanawake Wazuri." ilitokana na article moja kwenye gazeti la Daily Nation la Kenya la wiki iliyopita yenye kichwa cha habari "Where are All the Good Women?". Niliweka hapa jana:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano...ml#post2207612. Nilisema sio wanaume tuu wanaolalamika kwamba hakuna "wanawake wazuri" wa kuoa. Wanawake pia wanalalamika hakuna "wanaume wazuri" wa kuwaoa. Labda niongezee hata wengi waliopo kwenye ndoa, wanalalamika. Moja ya sababu inaweza kuwa hizo ulizozitaja, i.e kupitia tendo a ndoa (kumfurahisha/kukidhi haja za mkewe/mwanamke wake kitendo) na kuweza kumtimizia mahitaji ya Mke/mwanamke wake matumizi.
Lakini ukingalia in a big picture, katika kizazi cha sasa tofauti ya mwanaume na mwanaume ina diminish kwa kasi kubwa. Wanaume wengi wanakuwa na vi element vingi vya kike ambavyo vinawaboa wanawake wengi. Wanaume wengine wamesahau and/or wame ignore majukumu yao kama mwanaume. Wanawake nao hivyo hivyo. Men are becoming more feminine and women are becoming less feminine. Matokeo yale ni lack of attraction between the two.
Wapo wanaosema kuwa this is b'se one gender gaining or losing power and men becoming effeminate. Wengine wanasema kuwa this is due to the increasing demonisation of traditional masculinity in men. Whatever the case, kwenye jamiii ya sasa masculine qualities and behaviour zinakuwa more and more unnacceptable. As men becoming less manly. Lakini japokuwa wapo wanawake wanaomini kwenye equal contribution kwenye ndoa, majority ya wanawake bado wanaamini kuwa mwanaume ni main provider kwenye nyumba. Wanaume wengi nao wanaamini hivyo.
Hata kwenye nchi zilizoendelea, mwanamke mmoja tuu kati ya watano ndie anayeamini kuwa role ya mwanaume kama provider sio relevant tena. A third of men nao bado wanaamini kuwa bado wana role ya main provider:
Women say men's role as breadwinner is no longer relevant - Telegraph. Ukweli ni kwamba japokuwa wanawake wengi sasa wameajiriwa au kujiari, kipato chao hakilinagani na kipato mwanaume. In developed world, wanawake walio makazini are paid 18% less than employed men. Kwa Tanzania nifikiri difference ya kipato ni kubwa zaidi. Sasa sijui kama hapo itakuwa fair kusema kuwa wanawake wa contribute equally kwenye ndoa. kwa hali hii mwanamke ata assit lakini kumwambia atoe equal contribution ni kumwonea.
My view: Wanawake wanaodai equal contribution kwenye ndoa, ni wale wachache ambao either wamefanikiwa kupata elimu ya juu au wana kipato kikubwa. Wanaume wanaodai equal contribution kwenye ndoa, wamepoteza au wanaelekea kupoteza their masculinity and their fundamemental role as a man which is to LEAD. Kuhusiana na tendo a ndoa (kumfurahisha/kukidhi haja za mkewe/mwanamke wake kitendo), kuna majibu mawili ambayo yote ni valid. Kwa sababu mbalimbali, men are becoming less and less masculine and women have discovered their sexuality.