"A man should provide for his wife. PERIOD" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"A man should provide for his wife. PERIOD"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jul 11, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  WanaJF nawaamkua!!

  Nimekosa Title ya Thread.........
  Nimekaa hapa jioni hii nasoma Parents Issue no 299 ya June 2011; pg 56 Article iliyoandikwa kwenye Section ya "Men Only" kuna makala iloandikwa na Christopher Maina............. Makala hii ya kiingereza ina kichwa cha Habari kisemacho ."A man should provide for his wife. PERIOD"........
  Makala hii inaanza kwa kuainisha umuhimu wa wapenzi/wanandoa kuzungumzia masuala yahusuyo finances na zaidi inaelezea umuhimu wa kila mwanandoa kuchangia katika mkate wa kila siku kwa familia yao!! HATA HIVYO makala hii inaainisha wazi kuwa Wanaume wana njia kuu mbili za kuwa'impress' wake/wanawake zao, nazo ni;
  1. Kupitia tendo a ndoa (kumfurahisha/kukidhi haja za mkewe/mwanamke wake kitendo) na
  2. Kuweza kumtimizia mahitaji ya Mke/mwanamke wake matumizi (hapa imeandikwa nanukuu..' providing for her upkeeping, including her offspring and relatives - everything else including loving her mother and father are included in this front).........mwisho wa kunukuu!

  Kupitia njia hizi Mwanaume amekuwa akijiinua na kuonyesha uanamume wake (Man's ego...)

  Nina maswali mawili makuu;
  1. Je hii ni kweli??
  2. Kama ni kweli hiki anachozungumzia Bwana Maina, tusemeje pale ambapo wanawake wengi sio kwamba tu wanalalamika juu ya 'kutoridhishwa kwao kitendo" lakini pia waume zao wanashindwa kuwatimizia mahitaji mengine muhimu kama ilivyowekwa hapo?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  weka titlle..wewe hujasoma shule? kuna maswali ulikuwa unaulizwa unapewa short story then unaambiwa ui tittle..
  andika hata
  saint ivuga loves afrodenz..
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Au ungeweka First Born loves Ashadii as his sister and loves cheusi mangala as his grandmon, Husninyo as his Darling, The Boss as his uncle, Lizzy as his sweetie, saint ivuga as bro, afrodenz as shemeji, Preta as his beibei. Hahahahahahahahahahahahahahah, itakuwa ndefu sana
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  acha vituko mj01

  title ingekuwa mwanaume ku provide....

  mimi binafsi nakubaliana kwa asilimia 100
  but tatizo ni je kama mtu hana uwezo je????

  mimi napenda kama uwezo upo,mtu aprovide kila kitu

  tazama waarabu na wake zao

  sisi waswahili kushindana na wake zetu inapunguza upendo,heshima na hadhi yetu
  mbele ya jamii zingine.......
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hapa ndo niipendeapo JF, hata kama tanesco wamekuudhi unaishia kufurahi.
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nakubalina na wewe 100 kwa 100..zaidi ya wabunge wetu na comedy zao!!

  Kama huna uwezo basi inabidi uwe mpole na kusubiri mfadhiri yeyote ajitokeze kukusaidia....Kwa vyovyote vile hayo ni maumivu tu!

  Hata mwanamke angekuwa Prezida....bado atategemea hayo mambo aliyoyataja MJ1 toka kwa mume wake...Ila kama mwanamume hawezi kutimizza hilo la kwanza basi abaki tu kulea watoto kama shamba boy!!
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  k.........................................................................nimekosa cha kuandika!!
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa. A man must be a provider to his family. Hii biashara sijui mwanaume hafanyi kazi wengine wanategemea mwanamke kama wale ndugu zetu wanugu/akata ni upumbavu. Huwezi kuwa mwanaume kweli kama hu-provide kwa mkeo na wanao banaa, utaishia kuwa mwanaume jina tu wa kuvaa suruali. Dume lazima liprovide kila kitu kuanzia matumizi mbalimbali, chakula, nguo, malazi, sex etc
   
 9. charger

  charger JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hilo sio swali AD ndio maana midume mingine ikikwama kabisa inakubali lawama kuliko fedheha inaenda kupanga mawe sekenke ili ifanye hapo kwenye red
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa the boc mashindano kama nini sijui
  kila mtu anajifanya anajua, hasa wanawake wengi waliosomea
  mambo fulani hivi.......... hawa ndio wabishi utadhani wanajua
  kila kitu, maadam wanajua haki zao baasi, wanafikiria hiyo pia
  ina aply kwenye ndoa, mwanamke akiwa na kazi nzuri baaasi
  atataka hata majukumu yasiyo yake ayabebe yoooote ili tu kuonyesha kwamba na yeye anaweza
  Mie bwana napenda mwanaume anayejituma kuhakikisha familia yake mikono imeenda kinywani
  haijalishi ana nini na anafanya nini, ila ajitahidi kadri ya uwezo wake, na yanayobakia mwanamke anaweza saidia
  ila tu, narudia wale tu, wanawake wao wenye uwezo sana kupita wao inaweza kuwa tofauti, ila pia wawe makini sababu mwanaume
  hulka yake ni kumiliki mtu na kumtunza kwa kila kitu..hapo atajihisi kuna kitu kimepungua tu, ndio pale anatafuta, na yeye hata wa kuhonga kanga na kumpangia chumba kimoja, ili nae akiingia aonekane anamiliki kila kitu kwa asilimia 100
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Samahani Magreat Thinkers nimewalet down but its not my fault coz I dong think am among you............................ Lakini ninaamini ujumbe mumeuelewa au vipi? and am sure eventually nitapata title through you guys ila kwa sasa ninawaomba radhi!!
   
 12. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanaume wengi wamekuwa wakwepa majukumu siku hizi,.................eti kwa kuwa tunasema "Tunaweza",....................
  Unakuta mwanamke labda muajiriwa,akitoka ofini anapitia shule jioni(harakati zote hizi ni ili aweze kuinua kipato cha familia ili atimize majukumu ambayo mume anayakwepa)

  .....anarudi nyumbani jioni/usiku.....muda wa mapishi unapatikana kwa tabu,muda wa kulea watoto ndio usiseme,unapofika muda wa kitanda yuko hoi bin taabani.....mume naye ndio kumekucha "anataka huduma"....pheeeeeew! kwa kuwa mke amechoka na yuko stressed,atatoa huduma mbovu,yataanza malalamiliko............we mwanamke siku hizi umebadilika!

  Matatizo mengine ya kindoa yanaweza kuwa yanaanzia hapa iwapo hakutakuwa na MAWASILIANO MAZURI

  1. Mke ataona mume hamjali
  2. Mume atahisi mwanamke ana mwanaume mwingine......mbona anatoa kwa shingo upande???
  3. Mwanamke hawezi kuridhishwa kwenye tendo la ndoa....hakuwa tayari kisaikolojia
  4. Chuki itajengeka kati yao.......................nyumba ndogo itatafutwa
  5. Mapenzi yataanza kupungua siku baada ya siku
  6. Kila mmoja ataona mwenzi wake ndiye chanzo..........atahisi alikosea kuchagua mke/mme...........
  7. Bila busara,uvumilivu,hekima.....ndoa inavunjika

  Wanawake Tunaweza LAKINI Wanaume msikwepe majukumu!
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama pesa ipo usipowaprovide wife, watoto na familia utamprovide nani??
  Lakini kama pesa haipo huwezi kwenda kuiba au kuua watu na ku-risk your life eti just because you are a man and you need to provide for the mrs
  Ofcourse nitaiba ili watoto na wife wasilale njaa, lakini kamwe sitaiba ili wife aende saloon au anunue kiatu kipya
  Living according to your means is absolutely important
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hapo unaongelea masculine ambayo wanaume wengi wa kizazi hiki wana lack. Nilielezea kwa undani kwenye thread ya Lizzy jana, I can't repeat it here. Sorry.
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  the Boss yaani naomba mnisamehe sana........nimeshindwa kuweka title kwa sababu hii makala imeniconfuse akili kidogo.......am sorry to say but mimi ni mmoja wapo wa wale wanaoamini kuwa Mwanaume kama Mwanaume anayo nafasi ya pekee katika familia......yaani issue ya kuprovide kwa familia yake kwangu huwa haina mjadala BUT sitarajii pia kuwa atakuwa rigid kiasi cha kukataa any assistance from me . Mimi kama Mke naamini kuwa nina wajibu wa kumsaidia Mume wangu kwa hali na mali (including financial assistance): na hii wala siombi au kusubiri kuambiwa......pale ambapo ninawezanyoosha mkono nitanyoosha. But ukiisoma article hii yote inaINSIST kuwa ni mwanaume na ni mwanaume ambaye anabeba hilo jukumu.......... samahani nitanukuu sentensi nyingine ....If you (Man) are pathetic in bed, you will have to compensate with the way you provide in her.....

  Hapa najiuliza, je ni kweli? na kama ni kweli kuna namna mnajua kuwa 'humtoshelezi in bed' ili ucompensate kwa matumizi?

  Am a bit confused wajameni but bear with me please nitapata title soon na kurekebisha mambo!
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante EMT.......usitunyime uhondo tafadhali at least tupatie Link............kuna threads za Lizzy nyingi kaka yangu please, just a link will do. Aksante
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  title ni Men Must Provide to his Wife during Period...
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Babu yaani imenichanganya sana hii article mpaka nikakumbuka ya zamani!! Nakumbuka nilikuwa naambiwa nijifunze kuwa 'a lady' just because nilishajizoeza kutokuwa tegemezi, bahati mbaya kuna watu ambao mke akisema asaidie wanaona kama mwanamke anataka kuwatawala...... matokeo yake wanawaabuse iiwemo kuto kuwashirikisha kwenye maamuzi muhimu ya familia.

  Namkumbuka pia kuna usemi ule wa ...chako ni chetu kwa kuwa wewe ndio baba wa familia na mume, ila changu ni changu'
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ndetichia .............is that the only line you have seen in this thread ndugu yangu? hebu ipotezee bana!! mwaga vyoints najua hapa ndo kwako! Tuelimishe bana!
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Upo kwenye ndoa miaka 17 unaweza kutupa practical experience. Juzi nilikuwa naangalia documentary ya modern husband and wife. Wakahojiwa wanandoa ambao wamekaa kwenye ndoa kwa miaka 30. Walionyesha some video extracts jinsi wanavyoishi, yaani ni wabishi sijawahi kuona. Kwenye show walikuwepo vijana wake kwa waume amabo bado hawajaoa/olewa. Walikiri ni heri kuishi single kuliko kuishi katika ndoa ya aina hiyo. Hao wanandoa walipoulizwa pamoja na kubishana kote huko imekuwaje wakaweza kuishi pamoja kwa muda wote huo. Wanasema kuwa pamoja na ku argue kila mara, kutukanana, n.k, at the end of the day wanaheshimiana kama mume na mke. Mume anapata anachohistahili toka kwa mke na mke anapata anachositahili toka kwa mume.
   
Loading...